Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers - Sports
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Simba sports club yaidhinisha wajumbe wapya wa kamati zake

$
0
0
Na Dina IsmailKAMATI ya Utendaji ya Simba imepitia na kuidhinisha majina ya Wajumbe wa Kamati mbalimbali za klabu lengo likiwa kuiboresha klabu na pia kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na michuano ya kimataifa ambayo Simba inashiriki mwaka huu.
Taarifa ya Mwenyekiti wa Simba, Alhaj Ismail Aden Rage, inawapongeza wote walioteuliwa kwa ajili ya kazi hii na kuwatakia mafanikio mema katika kuijenga klabu ili iwe ya kisasa kama walivyo wajumbe wenyewe.
Uteuzi huu wa wajumbe unaanza mara moja na wenyeviti wa kamati hizo wamepewa nguvu ya kuitisha vikao vya kamati zao mapema iwezekanavyo.
Aidha, taarifa hiyo imesema kwamba timu ya Simba inarejea kesho kutoka Oman saa 10 jioni na itaingia kambini moja kwa moja kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya African Lyon Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.


KAMATI MPYA ZA SIMBA SC:


KAMATI YA UFUNDI
1. DAMIAN MANEMBE-MWENYEKITI
2. IBRAHIM MASOUD-MAKAMU MWENYEKITI
3. CRESCENCIUS MAGORI
4. KHALID ABEID
5. SAID TULLY
6. DR. KATEGILE
7. ZAMOYONI MOGELA
8. JOHN WILLIAM (DEL PIERO)
9. YUSUFU MACHO
10. JEFF LEA
11. BITA JOHN
12. SHABAAN BARAZA


KAMATI YA FEDHA
1. GEOFREY IRICK NYANGE (MWENYEKITI)
2. RAHMA AL KHALOOS-MAKAMU MWENYEKITI
3. FRANCIS WAYA
4. ZITTO KABWE
5. JUMA NKAMIA
6. RUGE MUTAHABA


KAMATI YA MASHINDANO
1. SWEDY MKWABI-MWENYEKITI
2. SAID PAMBA-MAKAMU MWENYEKITI
3. SELEMANI ZEDDY. (MB)
4. JERRY YAMBI
5. IDDI KAJUNA
6. CHAUREMBO
7. GERLAD LUKUMAY
8. HABBIB NASSA
9. BUNDALA KABULWA
10. CHARLES HAMKAH
11. SAID RUBEYA
12. ABDULFATAH SALUM (SAPHIRE)
13. HATIBU MWINYI (BUSTA)
14. ABDUL MSHANGAMA
15. HUMPHREY ZEBEDAYO
16. MAJALIWA MBASSA
17. SULEIMAN ZAKAZAKA
18. KESI MOHAMED RASHID
19. MOHAMED ISSA MBENA


KAMATI YA PROGRAMU ZA VIJANA
1. IBARHIM MASOUD –MWENYEKITI
2. RUGE MUTAHABA-MAKAMU MWENYEKITI
3. JOSEPH ITANG’ARE-MJUMBE/MLEZI
4. WILFRED KIDAU
5. MOHAMED ABDALLAH
6. SAID TULLY
7. CANISIUS MASOMBOLA
8. HAMIS MRISHO
9. DAMAS NDUMBARO
10. TALIB HILAL

SOURCE BIN ZUBERY


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Trending Articles