Hongera uongozi wa uwanja wa Sokoine wa Mbeya.
Sidhani kama patakuwa na binadamu timamu ambaye hatafurahia na maamuzi waliyoyachukuwa viongozi wa uwanja wa Sokoine wa Mbeya wa kuwasikiliza watazamaji/viongozi wa Azam TV kuhusiana na kero iliyokuwa...
View ArticleTimu yangu Simba yasuasua
Washabiki wenzangu hebu tujadili hili tumecheza mechi 4 nakuambulia point4 ingawa hatujafanikiwa kupoteza bado lakini tukumbuke tayali tumepoteza point8 hadi sasa katka michezo minne ambayo tayali...
View ArticleEdson Cavani gun shot celebration
hii imekaaje?! Edson Cavan jana alitolewa nje kw red card wakati timu yake PSG ilipochomoza na ushindi wa goli 3 kwa 1 dhidi ya Lens, kisa chenyewe ni kushangilia kama m2 anayepiga risasi(firing a gun)...
View ArticleMtu huyu Eddo Kumwembe
Huyu Eddo Kumwembe. Huyu Edo Kumwembe jinsi anavyonikoroga mimi katika makala zake Fulani Fulani ni hivyo hivyo angemkoroga na Advocate Kumwembe, nimeisha muonya mala nyingi lakini mbishi, hasa katika...
View ArticleYanga na simba shs ngapizimepatikana
nauliza tff ni shs ngapi imepatikana mbona kimya wakati tunatumia mtandao wa kununua tiketi na zimeanza kuuzwa toka j3
View ArticleMapendekezo ya kuwepo kwa ratiba ya mechi mbalimbali
Mod pamoja na wadau wengine wa jukwaa hili., binafsi napendekeza pawepo na ratiba ya mechi mbalimbali zinazochezwa ulimwenguni pote kwa kila siku. Kama si mechi zote basi ratiba ya zile ligi pendwa...
View ArticleHuko mbozi mchezo wa kimondo na tesema wavunjika
(MCHEZO UMEVUNJIKA KWA KUJAA MAJI UWANJANI INDABA AFRICA: MCHEZO WA KIMONDO NA KMC AMA TESSEMA WAVUNJIKA, NI BAADA YA UWANJA KUJAA MAJI IMEANDIKWA HUKO
View ArticleKwa uchambuzi huu wa makocha VPL Tanzania bado tunasafari ndefu.
Mechi ya jana ya VPL nilisikiliza michezo makocha wa timu mbili Tz Prisons na wa JKT Ruvu walihojiwa, Kocha wa TZ Prisons ambaye jana alifungwa goli mbili alipoulizwa kwa nini amefungwa akaji "golikipa...
View ArticleYanga na Simba kiasi gani kimepatikana
nauliza tff ni shs ngapi imepatikana mbona kimya wakati tunatumia mtandao wa kununua tiketi na zimeanza kuuzwa toka j3
View ArticleMchezo wa Kimondo na Tessema wavunjika
waamuzi wa mchezo huo wakiwa na team captains wa timu zote mbili Shabiki wa Kimondo akiogelea kwenye madimbwi ya uwanja huo baada ya mchezo kusimamishwa kutokana na maji kujaa Meza ya mwamuzi ikiwa...
View ArticleSoka la bongo tuna cha kujifunza kutoka bongo fleva
habari Ni weekend naangalia tamasha la fiesta nashauku ya kumwona msanii maarufu kutoka US, TI zamu ya TI ikafika akafanya vitu vyake akamaliza, ndio show ilikuwa nzuri ila sikuona tofauti na wasanii...
View ArticleBingwa wa tenisi akerwa kuitwa ''kaka'
Serena Williams Bingwa wa mchezo wa tenisi kwa upande wa akina dada duniani Serena Williams amekosoa matamshi aliyoyataja kuwa ya kibaguzi na kutojali ujinsia yaliotolewa na rais wa shirikisho la...
View ArticleAjinkya Rahane seeks consistency to secure India spot
Cricketer Ajinkya Rahane has said he is working towards attaining greater consistency and is looking to convert starts into big scores to secure his place in the Indian squad. Opener Rahane scored a...
View ArticleNdanda wamtimua kocha Denis Kitambi
Ndanda FC imemfuta kazi kocha wake, Denis Kitambi. Uongozi wa klabu hiyo umechukua uamuzi huo baada ya vipigo viwili dhidi ya Mtibwa Sugar na kile cha nyumbani jana dhidi ya Ruvu Shooting. Taarifa...
View ArticleJaja apiga shuti moja tu dakika 82
Mshambuliaji ghali wa Yanga, Mbrazili, Geilson Santos Jaja, juzi Jumamosi alicheza mchezo wake wa nne wa Ligi Kuu Bara alipokutana na Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, lakini alishindwa...
View ArticleMaximo Jaja ni Mimba ichechetue kabla aijakuzalisha wazo tu(
Wengne wengi awapendi ukweli Lakini ukweli wa huyu mchezaji Jaja ni huo Hii ni mimba ambayo kama anasubiri itamzalsha mtoto mwenye Ebola...ni bora kabla ukaamua kuichechetua kabisa kabisa Cheki naame...
View ArticleTaarifa ya TFF kuhusu mapato ya mechi ya Yanga vs Simba
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 427,271,000. Washabiki 49,542...
View ArticleKuna Harufu Mbaya (smell of fishy) Mapato ya Simba na Yanga
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 427,271,000. Washabiki 49,542...
View ArticleShaffi ajirekebishe
Nashindwa kumwelewa huyu shaffi dauda amekuwa na tabia ya kubeza tu na kushadidia vya nje bila ya kuwa na ulinganifu na kwa kuwa amepewa forum ya kusema tu anaitumia vibaya sana kukandia wengine bila...
View Article