Polisi Morogoro vs Yanga live updates
Leo tarehe 24/01/2015 vpl polisi morogoro vs yanga. utapata kila kitu kutoka uwanja wa Jamhuri morogoro, mkolaj ndo nitahusika kwa kushirikiana na cnjona na makoye matale.
View ArticleNews Alert: Ronaldo Splits With Supermodel Girlfriend Over Birthday Snub
Cristiano Ronaldo may be a winner on the pitch — he won the 2015 FIFA Ballon D’Or — but he is now a loser at love. According to a report from the UK Daily Mail and Portugal’s Correio de Manha, Ronaldo...
View ArticleNisaidieni kwa hili,mchezaji kujifunga goli 3
Hivi kujifunga goli 3 nayo itaitwa hat trick? Je, aliyejifunga magoli hayo ataondoka na mpira? Nawasilisha
View ArticleHans Poppe acha uongo
kwa utaalamu wangu picha anaedai amis tambwe kuwa alimpiga kibao beki katili ni uongo.kwanza angalia mikono ya tambwe mkono mmoja hauonekani pili wapo sambamba hicho kibao atampigaje beki katili kwa...
View ArticleVPL: Simba SC Vs Azam FC
wadau karibuni uwanja wa taifa kuona mechi kali tangu mwaka 2015 uingie vijana wa unyamani simba sc watakipiga na kinara wa ligi kuu Azam fc wana lambalamba, vijana wa simba chuo cha soka Tanzania...
View ArticleTFF na vichekesho
Wana body katika hali inayo onekana ni vitimbwi vya mwaka TFF wameibuka na mchezo wa soka wa kando ya pwani (beach soccer) wakati hilo football limetushinda na kila kukicha tunaboronga.tuchangie
View ArticleUtukutu wa Mario Balotelli, uliyajua haya kumi?
1.Alitozwa Dola 400,000 (zaidi ya shilingi 700,000,000 ta kitanzania) kwa kwenda kwenye klabu ya uchi siku moja kabla ya mechi 2. Akiwa kwenye gari aina ya Bently, Januari mwaka 2012, Baloteli...
View ArticleLive Updates:Mbeya City vs Prison
kwa mara nyingine Mji wa Mbeya umekuwa busy na shangwe nyingi sana,hii ni kawaida pale zinapokutana timu hizi mbili kutoka jiji la mbeya.Mashabiki wengi sana wanaipa sapoti timu ya Mbeya City na...
View ArticleWashambuliaji wa VPL wanauza mechi
Nkumbuka alisema maximo wakati anaondoka akaulizwa mbona unapendasana washambuliaji tokanje akajibu wengiwanauza timu nilikuwepo nanawajua vyema,,bora timu ikatumiagarama kununua washambuliaji. Name....
View ArticleNgasa kwenda afrika ya kusini ni sahihi
nimesoma gazeti moja kuwa kuna habari ngasa ameenda afrika kusini kufanya majaribio. mimi nampa tano lakini uongozi wa yanga unadai kuwa hauna habari eti ikibainika kama kweli itampa adhabu. nyie...
View ArticleNgasa alipofushwa na ujinga ule ule wa miaka yote ya wachezaji wa Kitanzania.
Huu ni ujinga wa wachezaji wengi wa kitanzania ambao bado hawajafahamu kuwa mpira ni kazi kama kazi nyingne yoyote ile. hawa huwa wanaweka mapenz ya team zao mbele wanasahau siku nazo hazigandi. Ngassa...
View ArticleUtakumbukwa Sports Xtra Maestro
Kuhama kwa IBRAHIM MAESTRO kuhamia EF sport itakuwa nipengo kubwa sana clouds fm katika kipindi cha michezo Maestro alikuwa mchambuzi Wa michezo katika Redio Na TV clouds ambae alifanya kazikubwa sana,...
View ArticleNews Alert: Uwanja wa mechi ya Zambia na Cape Verde ni aibu kwa Afrika
Naagalia hii mechi kati ya Zambia na Cape verde yaani ni aibu tupu mvua inanyesha na uwanja umejaa maji hata radha ya mpira hamna. Hivi kwa nini mechi isiahirishwe ili kulinda heshima ya Afrika? kwani...
View ArticleJezi mpya za Taifa Stars
Jamani wana michezo, Nakumbuka kulikuwa na mchakato wa ubunifu wa jezi mpya za Taifa Stars, ulioanza November, 2014. Ningependa kujua zoezi hili limeishia wapi hadi sasa January, 2015. Mimi niko zangu...
View ArticleJuma Matokeo (marehemu) mid-field myestro
Alikuwa anachezea yanga miaka ya 1975-80 akitokea Tumbaku yaMorogoro,sijaona mchezaji mahili kama yeye , hajawahi kutokea, alikuwa na dribblingza kipekee , alikuwa anapendeza kumwangalia. Ile mechi ya...
View Articleking'amuzi cha Azam
Wadau tafadhali nijulosheni. Eti nikiwa ma king'amzi cha Azam nitapata chanel ya mieleka?
View ArticleSimba mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
Juz TAMBWE kafanyiwa vbaya na wale mijida Simba wakasema yanga wagangamae,leo viongoz wa simba hao hao wanaitaka TFF imchukulie hatua Aggrey Morris kwa kumpga kiwiko Okwi,wamesahau matusi yao kwa yale...
View ArticleSammy Kufour umeniacha hoi sana leo
Kabla ya MECHI YA SAFRICA NA GHANA AKIWA OFISI ZA SS3 ALIULIZWA UNAONAJE MECHI YA LEO ,AKAJIBU AKUNA TIMUPALE YA KUIFUNGA GHANA,,NA MKISHINDA SAFRICA NIKO NA MASHINE HAPA NANYOA NDEVU NA NYWELE...
View Article