tENGA NA SERIKALI NANI MWENYE UBAVU?
Mpira wetu katika sekta ya uongozi uliokwisha muda wake umeingia katika mzozo ambao kama hawatakaa chini huenda tukafikia pabaya na hii ni kwa sababu tu ya kuleta siasi sarakasi katika katiba ya...
View ArticleKwa mashabiki wa Simba,Barca na Arsenal........
Simba aka RIBORO: Wamenyukwa na Libolo,Mtibwa na Libolo tena Barca: Wamenyukwa na AC Milan na Real mara 2 Arsenali: Wamenyukwa na Blackburn,Bradford na Spuds Hizo ni mechi za hivi karibuni, nawahurumia...
View ArticleSimba Sport Wakata Rufaa?
Jamani wa JF samahani kama nitawakwaza wengi hasa wapenzi wa Timu ya Simba. Nimesikia leo asubuhi kuwa Uongozi wa Timu ya Soka ya Simba wamekata Rufaa dhidi ya hii timu yenye jina linalotamkika...
View ArticleRage hapo vip? Bado unataka tukutajie namba yako?
Nianze kwa kutoa pole kwa wapenzi, mashabiki na wananchama wenzangu wa Simba, kimsingi yaliyotokea jana si mazuri kwa wapenda soka wote duniani kwani hakuna anayejiandaa kupoteza mechi ktk ulimwengu wa...
View ArticleManchester utd - real madrid agg: 1-1
Manchester utd - real madrid agg: 1-1 sir alex ferguson amesema hajutii magoli mengi waliyokosa mechi iliyopita bernabeu, mimi pia naamin manchester utd itapata ushindi mzito na kikosi chake...
View ArticleChama cha soka mpanda kinaua huu mchezo hapa Wilayani.
Ndugu wadmau wa michezo,mi ni mdau mkubwa wa mpira wa miguu na nimecheza na kuishi sehemu mbalimbali hapa nchini tanzania. Kuna kitu cha ajabu nilichokikuta na kinachoendelea hapa wilayani kwetu. Chama...
View ArticleChama cha soka mpanda kinaua huu mchezo hapa Wilayani.
Ndugu wadmau wa michezo,mi ni mdau mkubwa wa mpira wa miguu na nimecheza na kuishi sehemu mbalimbali hapa nchini tanzania. Kuna kitu cha ajabu nilichokikuta na kinachoendelea hapa wilayani kwetu. Chama...
View ArticleWaziri wa michezo alikurupuka
AGIZO LAKE HALITEKELEZEKI -RAIS TENGA SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema ipo haja kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kufikiria upya uamuzi wake wa...
View ArticleKama arsene wenger ataachia ngazi arsenal, unadhani kocha gani anastahili...
Kwa maoni yangu namfikiria Michael Ludrup wa Swanswea city, hii ni kutokana na style yake ya mpira anaofundisha. Naomba tu base sana kwa makocha wanaofundisha EPL sababu najua wanauzoefu na mikiki...
View ArticleHoward Webb will referee United's FA Cup QF against Chelsea on 10th March at...
Howard Webb will referee United's FA Cup QF against Chelsea on 10th March at Old Trafford.
View ArticleSimba ingeshinda
Wanajamii ni kweli kama simba sc ingefanikiwa kuifunga LIBOLO YA ANGOLA ingekutana na CHIPUMBU ya Msumbiji?
View ArticleSimba mkale swala msituni
Ndugu watani,mjini hakuwafai tena...bora mkale swala huko serengeti maana ndo mnapostahili.Mjini wanakaa wanaume wa shoka wanaoweza kupambana na Libolo na wakalishinda
View ArticleLIVE: MANCHESTER UNITED vs REAL MADRID 05/03/2013
Timu ziko uwanjani, mpaka dakika ya 09 bado ni bila bila. Nitatoa taarifa zaidi na matokeo jumla. Wenzangu wa MAN UTD nipeni moyo wakuu.
View ArticleAlex Ferguson atimuliwe
Timu dhaifu, Giggs awezi pambana na vijana wa RM, Rooney nje, Nani badala ya Young Ashley n.k. Ni mawazo yangu
View ArticleRefa ndio man of the match game ya manchester united!
akifuatiwa na diego "maradona" lopez. Attached Thumbnails
View ArticleMAN U kapigwa 2 old trafford
baada ya majigambo mengi mtaani hatimaye jose morinho amekata ngebe za man u pale pale old trafford.ni furaha ilioje!
View ArticleScolari Ambwagia Manyanga Ronaldinho
Baada ya kumpa Ronaldinho Gaucho nafasi nyingine ya kuuonyesha Ulimwengu kile alichokionyesha kwenye medhi dhidi ya Uingereza kwenye Kombe la Dunia la 2002, Kocha Philipe Scolari almaarufu kama Big...
View ArticlePoleni man u ndio game jipangeni season ijayo
Man 1-2 r.madrid man u nje barca tunasubiri uchawi wa messi ataonyesha maajabu 12/03/2013 camp nou
View Articleroy keane:referee made the right call
Former Manchester United captain Roy Keane believes referee Cuneyt Cakir "made the right call" when he sent off Nani in Tuesday night's Champions League battle with Real Madrid at Old Trafford. Irate...
View Article