rage: mapinduzi ya leo simba ni wahuni tu walikua wanakunywa kahawa
katika hali ya kushangaza mbunge wa tabora alipoulizwa ana maoni gani juu ya maamuzi ya mkutano mkuu alidai hao ni wahuni tu walikua wanakunywa kahawa na kutoa maamuzi ya kujifurahisha ndio maana...
View Articlemechi 7 goli 8...Super Mario Balotelli...
katika hali ya kuwasuta mahasidi, Mshambuliaji mwenye uwezo wa ajabu ambaye anaweza kufunga magoli ya aina zote na yenye ladha Super Mario Balotelli hapo jana aliweza kuisaidia klabu yake kipenzi...
View ArticleReal madrid vs barcelone season 2009/2013 la liga
Hii ni la liga toka c.ronaldo awepo katika timu ya real madrid Attached Thumbnails Â
View ArticleArsenal tutaitoa relini spurz
Wale washika bunduki wenzangu msihofu pengo la point 4 toka kwa totenham. Bado 2na kiporo, tukishnda inabak point moja ambayo naamin kwa game ngum walizonazo totenham kuanzia swansea,evaton,mancity had...
View ArticleMbwana Samatta: Mchezaji wa kujivunia Tanzania.Angalia goli hili alilofunga...
Huyu mchezaji akiongeza bidii kwa kweli atafika mbali sana. Hii ni aina ya wachezaji adimu sana hapa Tanzania. Attached Thumbnails Â
View ArticleNcca basketball march madness
Heshima kwenu basketball fans all over the world,,, March ndo hiyo imeshasogea na Basketball competition yenye ushindani kuliko zote duniani ndo inaanza kuchanganya.. ESPN haikaliki sasa, USA yote ipo...
View ArticleHello sportsmen...!!!
Excited to join you here today..! Hope we gonna have great moment A joke question; "whos better between Emanuel Okwi vs Mbwana Samatta" Its my first day here chears!!!!
View ArticleNews Alert: TFF yasalimu amri ya serikali
HATIMAYE Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limelazimika kukubaliana na maagizo ya Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo juu ya sakata la...
View Articlesetanta channel
hivi hawa setanta wa star times kuna mechi yoyote ya live wanayo onyesha aua zao ni kuonyesha mechi za zamani tu?. naombeni kujulishwa!. mia
View ArticleFC Barcelona, Messi and Iniesta acknowledged by the IFFHS
The International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) named FC Barcelona the best team of 2012 Messi and Iniesta, were named World's Best Goalscorer and the World's Best Playmaker,...
View ArticleJe ni lini CRDB itaanza kuuza tiketi za mechi?
Kumekucha na makucha yake. Nakumbuka benki ya CRBD ilishinda zabuni ya kuuza tiketi za mechi za timu ya taifa kupitia mfumo wa eletroniki. Mfumo ambao utahakikisha hakuna tiketi bandia au kukosekana...
View ArticleNews Alert: leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka...
March 21 mwaka 1980 Mzee Joao Moreirra na Mkewe Bi Miguelina de Assis walifanikiwa kumzaa mtoto ambaye baada ya miaka kadhaa kupita alifanikiwa kuja kuwa Nabii wa mwisho wa kizazi cha Soka ulimwenguni....
View ArticleZali La Mentali Linaweza Kuiangukia Taifa Stars kombe la Dunia
Ukichunguza vizuri ratiba ya mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia kwa bara la Afrika utabaini mambo mawili.Mosi,hatua ya makundi ndiyo ngumu zaidi hasa kwa kuwa ni timu moja tu ndiyo itafuzu kwa kila...
View ArticleNews Alert: Ridhiwani Kikwete awa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi
Ridhiwani kikwete ameteuliwa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga Bwana Manji kuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi ya klabu hiuyo. Pia amepewa mamlaka ya kuteua wajumbe atakao wahitaji katika kuongoza kamati...
View ArticleSerikali yasalimu amri kwa TFF
Thursday, March 21, 2013 Rais wa shirikisho la Soka nchini TFF,Leodgar Tenga (katikati) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana Hatimaye mgogoro baina ya...
View ArticleRidhiwani Kikwete ateuliwa mwenyekiti wa ujenzi wa kitega uchumi cha klabu ya...
Ridhiwani Kikwete akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kutambulishwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa eneo la Mafia Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans Sports Club alhaj Yusuf Manji...
View ArticleNews Alert: Yaya Toure Kuikacha Manchester City?
Yaya Youre anasema ataikacha klabu hyo asipopewa mkataba mpya. Hii ultimatum inatokana baada ya kukwama kwa mazungumzo hayo baada ya miezi sita sasa. Akiongezea kwa hapo, agent wake, Dimitri Seluk...
View Article