Jezi namba 9 ina gundu simba?
WACHEZAJI wa Klabu ya Simba ya jijini Dar wanaikwepa jezi ya timu yao yenye namba 9 mgongoni kwa madai kwamba ina gundu. Habari kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kwamba wachezaji wake wako radhi...
View ArticleTFF wambieni Mbeya city wasikanyage Dar,maana tumejiandaa kulipa kisasi ili...
Wakuu leo nilikua mitaa ya k,koo. Nikaona siyo vibaya kwenda klabu pale jangwani kujua mikakati iliyoko sasa pale Yanga. Nikiwa kama mita 20 kutoka lilipo jengo la Yanga niliwakuta mashabiki wengi wa...
View ArticleHewa yaendelea kuwa nzito kwa Yanga sokoine
Kama kawaida yanga ikiwa mbeya ,kwa mashabiki walioamua kushangilia timu zao za mbeya yadroo na prison ilicheza soka mbovu!!!! Bravoooo Mbeya bravoo,,
View ArticleChemsha Bongo ya Soka
1. Amewahi kuwa mchezaji bora Ulaya mara mbili mfululizo, amechezea timu kubwa Hispania, Italia na Ufaransa, mpaka kesho mashabiki wa ligi ya Uingereza wanatamani angecheza kwenye ligi hiyo wamuone...
View ArticleFor those members of a certain age.....
Ken Norton, heavyweight boxing legend, dies at 70 Ken Norton and Muhammad Ali during their second meeting in 1973 Related Stories Ali crowned 'King of Boxing' Watch Former US heavyweight boxing...
View ArticleUbovu wa viwanja (pitchs) vyetu vya soka nani sahihi kulalamika kati ya Azam...
Ligi yetu ya soka ndio imeanza na mwisho wa wiki iliyopita Azam FC ilikuwa mkoani Kagera na kutoka sare ya bao moja kwa moja vivo hivo Yanga walikuwa mkoani Mbeya na kutoka sare ya moja kwa moja....
View ArticleBarcelona vs ajax
hata kama ajax wamefungwa 4 lakini vijana hao wa ajax sio siri wameonyesha kiwango cha kuvutia nimependa sana jinsi walivyokuwa wanacheza soka kuwazidi barcelona!
View Articletimu 10 za mpira zenye washabiki wengi Tanzania
1.Yanga 2.Simba 3.Coastal union 4.Mbeya city 5.Pamba fc 6.Azam fc 7.CDA Dodoma 8.Machava fc 9.Mtibwa sugar 10.Lipuli fc
View ArticleLiverpool special thread
Tukiwa tunaongoza ligi after 3wins and 1 draw,kesho tunaenda kuongea point 3 muhimu kwan soton hawana uwezo wa kuchinja jogoo....!Mliotubeza baada ya 2-2 draw v swansea napenda kuwajuza swansea sio...
View ArticleExclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City
Leo leo wale wakare wapya kwenye mchuano huu unaoendelea,na walomtoa jASHO BINGWA mtetezi Dar Yanga leo wanatupa tena upinde wao kuona je wanaweza kumchezea sharubu Simba... utwalubunju... Stay...
View Articlembeya city yavunja mauzo ya jezi Tanzania
Mida nilikuwa na katibu wa mbeya city hapa manzese ananiambia ya kwamba baada ya timu yao kupanda ligi kuu walienda china na kutengeneza jezi zaidi ya elfu ishirini ambapo mpaka sasa wameshauza jezi...
View ArticleNews Alert: Tambwe 2 Mbeya city 1
Mbeya city wanatota huku,huyu Amis Tambwe ni noma mechi 5 goli 6 na bado, na leo mumpe mpira wake nyie TFF MAKANJANJA
View ArticleMbeya City yaomba msamaha kwa mashabiki wa Yanga
Hatimaye timu ya mbeya city leo imemaliza tofauti zao na Yanga Taifa. Mara baada ya mechi yao dhidi ya Simba, wachezaji wa Mbeya City waliwafuata mashabiki wa Yanga na kupiga magoti na kuweka mikono...
View ArticleSimba bhana...
Mbwembwe nyingi,mara oh...! Timu kubwa,mara oh...! Ndo tushaanza hvyo,yako wapi sasa?mliwaokota vibonde mkawapa 6 basi mkajiona wabaabe..shit..sharubu hata paka anazo.
View ArticleMbeya City Football Club - Special Thread!
Hii timu imepanda Daraja msimu huu maskani yake yapo Mbeya Region na inawachezaji wazawa kibao hadi kocha mzawa yaani hii timu ni ya kikwetu kwetu zaidi. Jezi: Dhambarau tisheti na kaptura nyeupe...
View ArticleTheo walcott:the fastest player in the world!
Arsenal and England striker cum Winger TheoWalcott has been name the fastest player in the world according to FIFA. FIFA released a list of 10 players who are the fastest in the world and toppling the...
View ArticleLive updates 22.09.2013:Azam FC v/s Yanga FC-Taifa stadium!!!
Ni kivumbi na jasho,nyasi kuwaka moto. Asiye na mwana............. Yanga yaahidi kutoa kipigo kizito dhidi ya Azam leo taifa. Nategemea Mkuu ndetichia utanipa kikosi cha Azam mapema huku ukinipenyezea...
View ArticleAirtel Rising Stars - Huko Nigeria
Habari zenu wana JF? Nimekuwa nikijaribu kufuatilia maendeleo ya timu yetu ya ARS iliyokwenda huko Nigeria kupitia media mbalimbali online. Cha kusikitisha ni kwamba watu wa media hawajawapatia hawa...
View ArticleUFC 165 results: Jon Jones outlasts Alexander Gustafsson in an all-time classic
UFC 165 results: Jon Jones outlasts Alexander Gustafsson in an all-time classic By Dave Doyle @davedoylemma on Sep 22 2013, 1:01a 177 Stay connected for news and updates Tweet (36) Share (346) 177...
View ArticleLive Updates: Man City Vs Man Utd, live from the Ettihad
Manchester derby.... Dakika ya 5 sasa Man City 0-0 Man Utd Full Time Man City 4-1 Man Utd
View Article