Akiwa ktk mkutano wa simba sport clubs..........rage aliamuru mwanachama mmoja ambae ni mwanamama na maarufu hapa nchini ktk tasnia ya uigizaji,atolewe nje kwa madai kuwa ni hasimu wake na hataki kumuona.............sasa rage na ubabe huu kweli atafika na kuweza kumudu vizuri majukumu yake ya kiuongozi?
ULEVI NI ULEVI TU..UWE WA POMBE,FEDHA.MADARAKA NK NI ULEVI TU.
ULEVI NI ULEVI TU..UWE WA POMBE,FEDHA.MADARAKA NK NI ULEVI TU.