Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers - Sports
Browsing all 5565 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wayne Rooney has only himself to blame as departure from Manchester United to...

Wayne Rooney has only himself to blame as departure from Manchester United to Chelsea seems inevitable Attached Thumbnails  

View Article


Simba na ura

Wadau mliopo uwanjani mtujuze matokeo ya mechi ya kirafiki kati ya simba na ura

View Article


Mechi ya Kirafiki: Simba SC v URA FC

Nasikia simba katangulia kwa goli moja mliopo taifa matokeo tafadhari na kesho ni Yanga SC wanacheza nao..

View Article

Wachambuzi makini wa soccer toeni mtazamo wenu hapa.

Swali ni fupi tu, ninaomba mtoe maoni yenu kuhusu mchezaji wa Nigeria, Odemwingi. Je, mnazungumziaje uwezo wa mchezaji huyu? Anasifa za kuitwa fundi? "Mimi binafsi" ninamuona wa kawaida. Karibuni.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rage ageuka shujaa mkutano wa simba, wafanyika kwa saa moja

Saturday, July 20, 2013 Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Simba wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo ulioanza saa nne kamili na kumalizika saa tano kamili...

View Article


Yanga waliweza,kwanini simba tunashindwa?

Klabu ya simba imekuwa katika mwenendo mbovu katika msimu uliopita na mpaka sasa,tatizo kubwa ni uongozi uliopo madarakani ukiongozwa na mwenyekiti Rage.Amekuwa mtu maneno mengi pasipo tendaji,mapato...

View Article

ADEN RAGE;Ajidhalilisha mkutano wa simba.

Akiwa ktk mkutano wa simba sport clubs..........rage aliamuru mwanachama mmoja ambae ni mwanamama na maarufu hapa nchini ktk tasnia ya uigizaji,atolewe nje kwa madai kuwa ni hasimu wake na hataki...

View Article

News Alert: kumbe Jozee Morinho ni mchawi, mshenzi mkubwa kabisa

So is the Chelsea boss now using all his powers of soccer’s dark arts to unsettle new Manchester United manager David Moyes? On the face of it, no. Instead he seems to be killing the Old Trafford...

View Article


Rage: Serikali imetumia miaka 50 kujenga uwanja wa kisasa mimi nitawezaje...

mwenyekiti wa simba mh. Mbunge Aden Rage alisema hayo jana katika mkutano mkuu wa simba uliodumu kwa saa moja Rage'' serikali yangu ya chama cha mapinduzi imewachukua miaka 50 kujenga uwanja wa kisasa...

View Article


Updates Yanga v/s URA.......Taifa leo tar 21.07.2013!!!!!

Twendeni tukaone vifaa vyetu leo,bila kusahau jembe jipya la ushambuliaji kutoka Nigeria na linaloliliwa na Wareno(Ogbu Brendan)

View Article

Hiv tff kwann tusijaribu hili

Hiv kwanin tuendelee kulia na tatizo la uhaba wa washambuliaji wakt inaonekana ni janga la kitaifa! TFF hiv kwann tusifanye umafia wa kuishawish serikali itoe urai kwa wachezaji wa kigen ambao...

View Article

Timu tajiri zaidi duniani,according to Forbes.zisome hapa

HIZI NDO TIMU TAJIRI ZAIDI DUNIANI KWA MUJIBU WA FORBES MAGAZINE ~ Top in TZ

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hawa Man u hizi tabia wameanza lini

Maliberali fc Attached Images   

View Article


Mipango ya kuanzisha timu mpya itayokua kama Azam mkoani Mwanza

Yaani pamoja na uwanja wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 25,000,,mwanza haitakua na timu ligi kuu,najua matajiri wa kanda ya ziwa hawana mpango na soka,ngoja tujikwamue na washikaji alafu tuanzishe...

View Article

Ratiba Ligi Kuu VODACOM

Ratiba ya ligikuu ya VODACOM imetolewa ligi itaanza tarehe 24/08/2013 Young Africans vs Ashanti United- Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Rhino Ranger Vs Simba - Ali Hassan Mwinyi Tabora Mtibwa vs Azam -...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ushabiki Unapozidi Mipaka

Shabiki la MANYOO lililikiona cha moto baada ya kuvamia eneo la mashabiki ya CHELSEA...akavuliwa GAMBA lake

View Article

News Alert: Martino aka Tata amrithi Vilanova Barcelona

Geraldo Martino aka Tata ametangazwa hivi punde kuwa Kocha Mpya wa Barcelona. Anamrithi Tito Vilanova..More to come

View Article


Kapombe, Kazimoto hawamo kwenye kikosi cha Stars kilichoelekea Uganda

23 July 2013 | Fred Maingi Tanzania Taifa Stars jet’s out for Uganda without two of their key players ahead of their return leg of the Africa Nation’s Championship (CHAN). The duo includes midfielder...

View Article

Kiwango Cha Danny Welbeck.. Duuh

Kama itatokea Siku Welbeck atafikia kiwango cha kina Van Persie... Bas jua kuna siku Mr. Nice atamfikia Diamond..

View Article

Hiki ndicho kikosi cha Taifa stars(first 11)ya kumuua mganda kwao tar...

Leo nimelazimika kupanga kikosi changu ambacho naamini kama kitapangwa hiki,basi mganda lazima akae nyumbani kwao. Kikosi: 1.Juma Kaseja. 2.Erasto Nyoni 3.David Luhende 4.Agrey Morris 5.Kelvin Yondani...

View Article
Browsing all 5565 articles
Browse latest View live