Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers - Sports
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Bajeti ya dollar milioni 40.....

$
0
0
Chukulia we ndo ungekuwa kocha au owner wa timu kama
West Ham United au Sunderland au Newcastle
any team ya EPL kasoro zile big 6...
na una bajeti ya dollar milioni 40 kusajili ungesajili nani na nani?

mimi binafsi naona bajeti hiyo unaweza pata bonge la timu

mimi ningesajili hivi
1. wanyama
2.paulinho
3.david villa
4.adebayor
5.kocha mmoja top kama Hiddink hivi au Rijkard
6.Andre Ayew..

wewe je?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Trending Articles