Hayawi hayawi yawa mambo mkekani - Yaliyotokea Moroko na Uganda wakati wa...
Wayameni, nyepesi nyepesi zinadai wakati timu ya taifa ilipokwenda Moroko na Uganda. Kuna mwandishi wa michezo(jina kapuni) alifanya mambo ya ajbu saana kwa mwanaume. Inasadikiwa alikuwa akimfulia...
View ArticleBreaking News:Mchezaji wa Costal Union Afariki kwa ajari ya Gari Morogoro leo!!!
Amefahamika kwa jina la Idrissa Ngulungu. Alikua akienda msibani Kisaki,tairi ya mbele ya gari alimokuwemo ikachomoka na kusababisha kifo cha mwanandinga huyo wa zamani wa coastal union pamoja na...
View ArticleSimba hatuna aja ya kujua kilichomo kwenye mkataba-Rage!
Hii ni kauli aliyoitoa mwenyekiti wa Simba Mh Ismail Aden Rage wakati akizungumzia mkataba wa uuzwaji wa haki za matangazo ya TV ya mechi za ligi kuu Tanzania,baina ya kamati ya ligi/TFF na Azam Media....
View ArticleKiiza amalizana na Yanga,asaini miaka miwili!!
Ni leo jioni jijini Kampala,kuungana na timu j,2 Dar!
View ArticleNews Alert: Mbunge Kyela atoa Zawadi za Michezo
Ni Mbunge na waziri wa uchukuzi Dr. H. Mwakyembe leo ametoa zawadikatka mashindano Kata ya Ipinda Kyela kwa timu zilizofuzu mashino hayo. Mshindi wa tatu kajinyakulia tsh.200,000, mshindi wa pili...
View ArticleMchezaji wa Costal Union Afariki kwa ajari ya Gari Morogoro leo!!!
Amefahamika kwa jina la Idrissa Ngulungu. Alikua akienda msibani Kisaki,tairi ya mbele ya gari alimokuwemo ikachomoka na kusababisha kifo cha mwanandinga huyo wa zamani wa coastal union pamoja na...
View ArticleMwanaspoti kama shigongo media.
Kuna habari imeandikwa katika gazeti hili la michezo,inahusu ligi ya Kamwambale ktk JIJI LA MBEYA. Ukweli ni kwamba hii ligi ilikoma tangu mwezi wa kwanza mwaka huu na mshindi ilikuwa timu ya TEMEKE...
View ArticleMakala Anani?
Vyombo kadhaa vya habari vimemripoti Naib Waziri wa Wizara inayoshughulikia michezo akikosoa uteuzi wa Kamati ya TFF ambayo huenda itahusika na kusikiliza rufaa ya Jamal Malinzi iwapo atagombea tena...
View ArticleMtanzania bingwa kuruka kamba
Mtanzania aliyekulia katika mazingira magumu, Hamisi Kondo ametawazwa bingwa wa mchezo wa kuruka kamba duniani. Kondo ambaye ni yatima, amewasili nchini Tanzania kutoka Marekani alikoshiriki mchezo...
View ArticleMwinyi Kazimoto awaomba radhi Watanzania
Katika ukurasa wake wa Twita, Kiungo mahiri wa timu ya Simba na timu ya Taifa Mwinyi Kazimoto amewaomba radi Watanzania wote kwa kosa la kutoroka katika kambi ya timu ya Taifa, Namnukuu hapa: "Nikweli...
View ArticlePepsi yadhamilia kuipa yanga mkataba wa mil 600.
Wakuu samahani kwa kosa nlofanya la kuitaja cocacola badala ya pepsi cola. Habari iko hivi; ========================== Dar es Salaam. Sakata la Yanga kugomea udhamini wa Azam Tv limechukua sura mpya...
View ArticleMashindano ya kimataifa ya sita ya mchezo wa bao
NBG (Nederlands Baogenootschap) pamoja na KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa ya Sita ya Mchezo wa Bao Wanaruhuswa kushiriki mabingwa na wanafunzi. Chama cha Bao...
View ArticleYanga wamenitumia ticket nije kujiunga nao-Moses Oloya!!
Wakiwa wamebakiza nafasi ya mchezaji mmoja wa kigeni,mabingwa wa zamani wa africa mashariki na kati na mabingwa wa tanzania Yanga,wamemtumia ticket ya ndege mshambuliaji mwenye kasi kubwa uwanjani...
View ArticleYou are addicted to football!!
HERE IS WHERE YOU GET INSTANT NEWS AND UDATES... PLS ADD TO THE LIST TUNUFAIKE ZAIDI... NOT ARRANGED IN ORDER... 1. http://www.dailymail.co.uk/sports 2. NoEasyGames.com 3. FootballFancast.com 4....
View ArticleLIVE UPDATE; YANGA vs MTIBWA (friendly match)
Ni match ya maandalizi ya msimu mpya, karibuni taifa muone vifaa vya yanga vilvyopikwa kutoka la masiah ya jangwani.
View ArticleAZAM FC!HII NDO KLABU!! Simba en Yanga ni Timu za mpira
Kwakeri ukiniambia hiv Tanzania kuna klabu ya Mpira bila shaka nitakuambia AZAM FC na timu zingne kama Kagera, mtibwa na Costal ambazo najua zinaweza ila tatizo ni Uchumi tuh!! En nimefurah sana kuona...
View ArticleBajeti ya dollar milioni 40.....
Chukulia we ndo ungekuwa kocha au owner wa timu kama West Ham United au Sunderland au Newcastle any team ya EPL kasoro zile big 6... na una bajeti ya dollar milioni 40 kusajili ungesajili nani na nani?...
View ArticleMtanzania Bingwa wa Dunia
Rais Jakaya Kikwete akimpongeza kijana wa Kitanzania Hamisi Mohamed mwenye umri wa miaka 14 aliyeipatia sifa Tanzania kwa kunyakua ubingwa wa Dunia wa mchezo wa kuruka kamba kwenye michuano...
View ArticleNaomben jibu kwa hili swali
Wanamichezo !! Habarin za Asubuhi!! Kuna swali nimeulizwa hapa, Eti Nipe tofauti kati ya FOOTBALL and SOCCER!!
View Article