Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers - Sports
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

News Alert: Mbunge Kyela atoa Zawadi za Michezo

$
0
0
Ni Mbunge na waziri wa uchukuzi Dr. H. Mwakyembe leo ametoa zawadikatka mashindano Kata ya Ipinda Kyela kwa timu zilizofuzu mashino hayo. Mshindi wa tatu kajinyakulia tsh.200,000, mshindi wa pili ts.300,000 na mshindi wa kwanza tsh.500,000 na mpira, ikiwa mshindi wa pili na watatu walirushiwa shilingi ili kupata mpira na Makunga wakanyakua mpira dhidi ya Lupaso. Na wenyeji ndo walochukua ubingwa wanaitwa New Fighter. Waamuzi wa nne kila mmoja tsh.50,000.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Trending Articles