Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers - Sports
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Mchezaji wa Costal Union Afariki kwa ajari ya Gari Morogoro leo!!!

$
0
0
Amefahamika kwa jina la Idrissa Ngulungu.

Alikua akienda msibani Kisaki,tairi ya mbele ya gari alimokuwemo ikachomoka na kusababisha kifo cha mwanandinga huyo wa zamani wa coastal union pamoja na dadake waliyekua wakisafiri nae.

Marehemu Ngulungu na dadake watazikwa kesho mjini morogoro.

Mungu zipumzishe roho za marahemu mahala pema peponi amina!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Trending Articles