Kuna habari imeandikwa katika gazeti hili la michezo,inahusu ligi ya Kamwambale ktk JIJI LA MBEYA.
Ukweli ni kwamba hii ligi ilikoma tangu mwezi wa kwanza mwaka huu na mshindi ilikuwa timu ya TEMEKE inayomilikiwa na Muuza nyama ya Ng'ombe ( Butcher) anayeitwa JACK,sasa hii habari imeandikwa katika gazeti la leo as if ligi bado inaendelea!