Katika ukurasa wake wa Twita, Kiungo mahiri wa timu ya Simba na timu ya Taifa Mwinyi Kazimoto amewaomba radi Watanzania wote kwa kosa la kutoroka katika kambi ya timu ya Taifa,
Namnukuu hapa:
"Nikweli nimefanya makosa. Nikatika harakati zakutafuta maisha tu! Naomba WATANZANIA wezangu wanisamehe."
NB
Sisi sote ni binadamu hakuna aliyemkamilifu, ukosefu ni sehemu ya maisha ya binadamu, na aombae samahani amelijua na kujutia kosa lake,
Tumsamehe kijana wetu na arudi kulitumikia taifa letu na klabu yetu!