Kuelekea mpambano wa kesho wadau mnalitazamaje hili pambano hasa ukizingatia usajili,maandalizi na ubora wa vikosi vyote viwili. kwa kuupima uzito wa mchezo wenyewe unaona matokeo yatasimamaje mpaka mwisho wa mchezo? na je ngoma itaishia ndani ya dakika 90 au utaenda kwenye penalts....nawasilisha
↧