Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers - Sports
Browsing all 5565 articles
Browse latest View live
↧

Predict:azam vs yanga community shield at the national stadium

Kuelekea mpambano wa kesho wadau mnalitazamaje hili pambano hasa ukizingatia usajili,maandalizi na ubora wa vikosi vyote viwili. kwa kuupima uzito wa mchezo wenyewe unaona matokeo yatasimamaje mpaka...

View Article


Sakata la Ngassa,Yanga kuelekea CAF kupata muongozo,Simba kushushwa daraja!!!!!

Leo kamati ya TFF ya haki za wachezaji zimemuhidhinisha kiungo mwenye kasi Mrisho Ngassa kuichezea Yanga ktk msimu ujao.Pia imempa adhabu Mrisho Ngassa wa kulipa pesa ambazo inasadikiwa...

View Article


Yanga Vs Azam; It's First Against Third in the Community Shield Cup

Having twice emerged first runner up to both Simba and Yanga in the past two seasons, Azam have nowhere to run but going for the league title this season. The only way up is the title, nothing less,...

View Article

Yanga Vs Azam Factfile/Stats

Date Place Round Home Away Tournament 23/02/2013 Dar R18 Yanga 1-0 Azam Ligi kuu Bara 12/13 04/11/2012 Dar R5 Azam 0-2 Yanga Ligi kuu Bara 12/13 28/07/2012 Dar Final Yanga 2-0 Azam Kagame cup 2012...

View Article

Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Wanajangwani wote jiandaeni kwa kushangilia kuchukua "ndoo" ya kwanza leo. Matokeo yatakua:Yanga2-0Azam. Na wale wanazi wa dadake Azam pia wawepo jamani ili kushuhudia 'LIBOLO'likiipekenyua ile kitu ya...

View Article


TFF wanaigopa Simba?

Sakata la usajili wa Ngasa linaonyesha kuwa TTF hawako makini katika kushughulikia matatizo ya usajili yanayojitokeza mara kwa mara. Sakata la Ngasa kwa kiasi kikubwa linafanana na sakata la Mbuyu...

View Article

link inayoonyesha EPL live..

Msaada wanajamvi kwa mwenye link ambazo ntaweza angalia epl live anisaidie.. Asanteni..

View Article

Yondani, chuji nuksi-mzungu

Wakuu mapema leo kwenye gazeti la mwanaspoti kocha mkuu wa Azam, Stewart Hall ameongea kuwa anahofu na uzoefu wa beki ya kati ya Yanga has uwepowa Yondani, Canavaro na Chuji. Maelezo aliyotoa ni kuwa...

View Article


Mashabik wa Arsenal 3 za leo zisituchoshe Ligi bado:-

Bao 3-1 tulizofungwa Arsnal leo zisitukatshe tamaa mashabk wa kweli wa Arsenal thou inauma ukzngatia lig ndo inaanza.

View Article


English Premier League (EPL)2013/14 Special Thread#

FT Liverpool 1 - 0 Stoke FT Arsenal 1 - 3 Aston Villa FT Norwich 2 - 2 Everton FT Sunderland 0 - 1 Fulham FT West Bromwich Albion 0 - 1 Southampton FT West Ham 2 - 0 Cardiff

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Barclays Premier League Table 2013/14

View Table POS LP CLUB P W D L GF GA GD PTS 1 (0) Manchester United 1 1 0 0 4 1 3 3 2 (0) Aston Villa 1 1 0 0 3 1 2 3 3 (0) West Ham United 1 1 0 0 2 0 2 3 4 (0) Southampton 1 1 0 0 1 0 1 3 5 (0)...

View Article

why always arsenal....!!!

kiukweli Arsene wenger anaboa balaa...pexa zipo kununua wachezaji anaona ubahili,anapenda wachezaji wa mafungu wa bei chee ona leo tulivyoburuzwa had noumer daa!! but a'm arsenal number one fan until i...

View Article

Pamoja na ushindi wa azam:wachezaji wa yanga jitumeni kama mbuyu twite...

Ndugu wapendwa natumaini wengii mtakuwa mmekasirika na wachache kushangilia ushindi wa yanga leo hii sasa basi pengine aukuwa uwanjani ila niseme kweli mpenzi wa mungu azam wamecheza vizuri zaidi ya...

View Article


kwanini waandishi wote hukaa upande wa yanga taifa?

Kila mechi ninayoenda taifa huwa nashangaa sana kukuta waandishi wa habari wote wamekaa vip A upande wa yanga inamaana wote ni wanazi wa yanga?

View Article

To all Arsenal fans,is this true?

The difference between Arsenal and a toothpick is that a toothpick has two points!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana katika uzinduzi wa...

Nawashukuru sana Wananchi wa Iramba,Tar.17/08/2013 mmevunja rekodi,tangu Uhuru haijawahi tokea mkusanyiko kama huo katika uzinduzi wa MWIGULU CUP ambapo timu 246 tokea kila kitongoji zitashiriki na...

View Article

Napinga kwa michezo kuingizwa kwenye siasa

Ndugu zangu wanajamvi,naomba nijitokeze kwenu kwa kuwaombeni tuungane kwa pamoja kupinga michezo kuhusishwa na mambo ya kisiasa. Kwanza kabisa naomba niweke wazi mimi ni shabaki mkubwa wa simba....

View Article


FCB inavyo amua kushinda kimagumash...

Mpira unaendelea Fcb 7: 0 Levante

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ligi ya Mabingwa Afrika

Iko hatua ya Robo Fainali, ambayo huchezwa katika mfumo wa makundi. Orlando Pirates inaongoza kundi A ikiwa na pointi 7 baada ya michezo mitatu kuchezwa. AC Leopards ya Congo na Al-Ahly zinafuata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siasa za Matusi:Rizwani na Manji wataichukuliaje Simba kucheza na Vibonde...

Hii si mara ya kwanza siasa za Matusi kufanyika jukwaani.Mbwa alihawi valishwa Bendera ya CDM sasa tunaona SImba kupewa nafasi ya kufunga Vibonde wenye Jezi ya Yanga.Kwani hapakuwa na Jezi nyingine?Au...

View Article
Browsing all 5565 articles
Browse latest View live