Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers - Sports
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Siasa za Matusi:Rizwani na Manji wataichukuliaje Simba kucheza na Vibonde waliovaa jezi ya Yanga

$
0
0
Hii si mara ya kwanza siasa za Matusi kufanyika jukwaani.Mbwa alihawi valishwa Bendera ya CDM sasa tunaona SImba kupewa nafasi ya kufunga Vibonde wenye Jezi ya Yanga.Kwani hapakuwa na Jezi nyingine?Au muandaajia atatuambia ni Simba dhidi ya CCM?


Najua kwa Rage hii ni habari nzuri, ila kwa Yanga au hata CCM si habari nzuri,kwanini Simba aksifunge timu iliyovaa jezi za Yanga, na upande mwingine kidogo ni CCM,ingawa Bendera ya CCM KIjani ndio dominant, Yanga ni Zote.Muandaanji wa hii mechi hakuwauliza wana CCM wenzie ambao pia ni Waandamizi wa Yanga Rizwan na Manji?

Bado sijasikia wazee wa Yanga watasemaji, tamasha lililotakiwa kuidhalilisha Chadema limekwenda idhalilisha CCM na Yanga kwa ujumla.Tena Mbaya kabisa ktk tukio ambalo na Chadema walishinda kwa kishindo kwa kubadili kidogo tuu timing na kudhalilisha sana Mwigulu.


Kikosi cha Kiomboi United kilichocheza na Simba Sport Club






Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Trending Articles