Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers - Sports
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Simba ongeeni wenzenu Yanga wanaongoza ligi ya uturuki

$
0
0
Mtani jembe walisema bonanza, walisahau hata maandalizi yaliyo yafanya na mpaka walivyo oongea na wandishi wa habari kuhusu mechi.

Wakajito amapindizi Cup na kulipa milion 10 na kuruka zao uturuki, hongeleni sana Yanga nasikia mnaongoza ligi ya uturuki sasa, hatua nzuri sana yafaa kuigwa na vilabu vingine Tanzania. sio kukalia kucheza mabonanza, Azam, Simba, Mbeya City na Ashanti mpoooooooooooooooo Yanga oye

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Trending Articles