Kwa mashabiki wa Manchester United na Soccer kwa ujumla
Naomba niwe mmoja wa watu wachache wanaoamini kuwa Ferguson kamuachia Moyes kikosi kibovu sana! Natambua mchango wa kocha aliyepita na wachezaji msimu uliopita ila kiundani zaidi ni kama team ilikuwa...
View ArticleCHAN 2014: Hakuna mwenye muda nayo...
Nilifikiri ningekuta uzi wenye updates humu, lakini matarajio yangu yamekuwa sivyo. Pamoja na vyombo vya habari kujitahidi kutangaza kwa usawa michuano hii inayoshirikisha wachezaji wanaocheza ndani ya...
View ArticleKocha aliyekosa kazi Yanga: "Simba itaendelea kuinyanyasa zaidi Yanga"
KOCHA aliyekosa bahati ya kujiunga na Yanga, Mbelgiji Luc Eymael amesisitiza kuwa Yanga watajuta ndani ya kipindi kifupi kutokana na kumpa ulaji kocha mzee Hans Van Der Pluijm. Eymael alisema amekaa na...
View ArticleHaya maela aliyopewa moyes angekuwa kocha mwingine angesha sajili sasa hivi
Unajua ukimuangalia moyes yupo simpo sana lakini ni mtu mwenye akili sana katika maamuzi yake mfano timu yake katika hali yake sasa iliyonayo ila mcheki anavyomcheki anavyoangaika kutafuta mtu anaefiti...
View ArticleSimba ongeeni wenzenu Yanga wanaongoza ligi ya uturuki
Mtani jembe walisema bonanza, walisahau hata maandalizi yaliyo yafanya na mpaka walivyo oongea na wandishi wa habari kuhusu mechi. Wakajito amapindizi Cup na kulipa milion 10 na kuruka zao uturuki,...
View ArticleArsenal Oyee!
magine you were in a coma since may last year and you just woke up today then your friend tells you that; 1. Arsenal is on top of the league. 2. Arsenal bought Ozil for £42m. 3. Man utd is on 7th...
View ArticleMOURINHO kwa hili nimekukubali
Kocha wa sasa wa chelsea leo hii amenifurahisha sana kwa maoni yake alotoa wakati anahojiwa na bbc sport. Amejaribu kusema kwamba hamuonei huruma moyes japo yupo kwenye wakati mgumu sasa kwa kuwa yeye...
View ArticleSep blater kugombea urais fifa 2015
Soka nayo imekuwa politiki no.2, mzee anasema bado yuko fit kuongoza. Source Star tv michezo.
View ArticleMourinho: Manchester United will finally sell Wayne Rooney in the summer
Mourinho made Rooney his top transfer target over the summer, but despite lodging three separate bids for his services, United refused to sell. The Blues boss now says that he expects David Moyes will...
View ArticleAlipo Rivaldo
Wakuu ningependa kujua aliko huyu jamaa, make nilikuwa namkubali sana ni moja kati ya wachezaji bora kuwahi kuwepo.
View ArticleNews Alert: Wazungu washangilia kupata suluhu kwa Yanga leo,wengine tena...
Ikicheza kwa kushambulia kutokea pande zote za uwanja(kushoto na kulia)Yanga leo imeshikwa shati na timu ya ligi kuu ya Kazakhstan(KS Flamurtari) Mchezo huu ambao umemalizika muda mfupi uliopita...
View ArticleUNCONFIRMED Yanga wafungwa 7-1 Uturuki
Jana niliwasiliana na mchezaji mmoja wa Yanga alieko Uturuki ambae ni jirani yangu kaniambia walifungwa 7-1 na timu moja ya huko siku ya jumatano ila waliambiwa wasiseme na waandishi wa habari...
View ArticleNinaomba matokeo ya Simba Vs Mtibwa
Jamani hivi kama tunaweza kupata matokeo ya mechi iliyochezwa Side Stars Complex Manavgat Antalya kule Uturuki inakuwaje tunashindwa kupata matokeo ya game iliyopigwa hapo Temeke, enh....wapi...
View ArticleMkutano wa Yanga ndio umeanza,mama Fatuma Karume ndani na Jamali Malinzi
Mkutano wa yanga umeanza utulivu ukiwa unatawara mgeni wa heshima mama fatuma kalume na rais wa TFF bwana jamali malinzi
View ArticleChelsea Vs. Manchester United Live Stream
DATE: Sunday 19th January 2014 KICK OFF: 4:00pm GMT LIVE STREAM LINKS Link 1 Link 2
View ArticleChelsea v Manchester United
mpaka sasa ni Chelsea 3 vs. 1 Manchester United 0 ni kipindi cha pili, nimeumia sana kwakweli kwa mlio mbali na TV basi unaweza cheki mechi hii kupitia link hii hapa...
View ArticleMoyes havumiliki,aondoke..
Watu hatuna uhuru,kila gemu tunapigwa tu..!aaaghh...! Hatuwezi kuongea lolote hata mbele ya vibonde wa ligi maana wanaweza kutufunga ! Huyu jama anatupeleka ilipokuwa timu yake,aondoke tu hafai bhana....
View ArticleTAARIFA KWA UMMA:Mazishi ya RedDevils yatafanyika OldTrafford Si StamffordBridge
Kwanza natoa pole kwa wahusika (Manchester United Fans)na kutoa taarifa kuwa mwili wa kipenzi chao RedDevil utasafiri kutoka StamffordBridge mahali mahuti yalikompata na baada ya kupigwa risasi 3 na...
View ArticleLa Liga: Barcelona hoi,Atletico Madrid kukaa kileleni?
Kufuatia sare ya 1-1 na Levante,FC Barceona imejikuta katika hatari ya kupokwa uongozi wa La Liga. Hadi sasa, ikicheza michezo 20,Barcelona ina alama 51 huku Atletico Madrid ikiwa na alama 50 na iko...
View Article