News Alert: Man u
Nini unafikiri ni dawa mahususi kwa chama letu Man U mpaka sasa maana du tunafulia hadi noma!?
View ArticleList of referees for chan-2014
LIST OF REFEREES FOR CHAN 2014 SOUTH AFRICA NO REFEREES COUNTRY 1 SIKAZWE JANNY ZAMBIA 2 KIRWA SYVESTER KENYA 3 KHAIRALLA MUTAZ ABDELBASIT SUDAN 4 GRISHA GHEAD EGYPT 5 KEITA MAHAMADOU MALI 6 BANGURA...
View ArticleLIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014
Wana michezo wenzangu hasa kwa wale tunayoipenda Simba, Naomba kwa ambao wako Zanzibar watupe live updates hapa... Hili ni ombi maalumu kwani sijaona uzi wowote juu ya hii mechi.
View Article[sas] the best partnership in current season¤
Kwa sasa hakuna partnership kama ya SUAREZ na STURIDGE cause 1.Suarez m:16g:22 2.Sturidge m:13g:10,haya wadau tiririken
View ArticleNews Alert: CRISTIANO RONALDO For Ballon D'Or 2013
Don't miss the memmorable event gala 2day @21:30 Holla CR-77777777777777777:clap2: CR-7 aliving at Zurich with his baby mama Irina Shayak Attached Thumbnails
View ArticleNi CHRISTIAN RONALDO...atangazwa mshindi wa FIFA 2013 BALLON D'OR
Atangazwa sasa hivi mjini Zurich akiwatangulia wenzake Messi na Riberry Sherehe ilipambwa na Tuzo kwa Pele na wadau wengine wa soka na waandaaji wa Brazil World Cup 2014 akiwamo De Lima Mshindi kwa...
View ArticleCristiano Ronaldo Ampiku Messi!
Ronaldo ametawazwa hivi punde kuwa mchezaji bora wa soka duniani kwa mwaka 2013 akiwapiku Lionel Messi na Frank Ribery
View ArticleAngalia kura zote za ballon d'or, nani alimpigia nani?
kila kura iliyopigwa za makocha, makapteni na media na waliwapigia Attached Files fboaward_menplayer2013_neutral.pdf (357.4 KB)
View ArticleSijajua maana ya yanga ni kila timu itakayo ifunga simba????? Au
Simba inaigonga yanga 6 , 5 ila ikitoke kuna timu inaifunga simba basi yanga wanashangilia ile mbaya, naomba ufafanuzi kuhusu hili, yanga maanayake ni timu yoyote itakayo ifunga simba? Yaa ni grop of...
View ArticleCheki utundu wa CRITIANO RONALDO hapa
Mmmmmmmmmmuuuuuuuuuuuuuuuuuuaa aaaaaaaaaaaah!!!!! Attached Thumbnails
View ArticleFifa ballon d or:captains and their selections
Attachment 132361Tosin Oluwalowo's Blog: CHECKOUT who National team coaches and captains voted for in the FIFA Ballon d'Or IPO KWENYE PDF NIMESHINDWA JINSI YA KUWEKA
View ArticleAksante Azam media Mapinduzi cup, vipi CHAN?
Si masihara kwa hili la kutuonesha michuano ya Mapinduzi 2014 mnastahili hongera sana toka kwa wote walio makini. Ombi hapa kama mnaweza kutuonesha na CHAN tutafurahi mno. Keep Azam media up always.
View ArticleYanga SC kucheza mechi ya pili kesho
Baada ya kuwafunga Ankara Sekerspor 3 - 0, mabingwa watetezi wa tz bara kesho tena watakuwa kibaruani kupambana na timu ya Altay SK huko Antalya, Uturuki. Timu hii ni ya daraja la pili Uturuki. Mnaweza...
View ArticleList Of Ballon D'or Winners Since Its Inception In 1956
List of Ballon d'Or winners since its inception in 1956 after Cristiano Ronaldo was named the 2013 winner in Zurich on Monday: 1956: Stanley Matthews (ENG) 1957: Alfredo Di Stefano (ESP) 1958: Raymond...
View ArticleRuaha marathon succes story
Hirum Wandangi from Tanzania to Italy Athletics Africa - Mon, 28/10/2013 - 10:44pm By ATAF Editors | Last year, on May 25th, Hirum Wandangi, from Kenya, went to run Ruaha Marathon in Iringa,...
View ArticleWatanzania, "Na Shadrack Nsagigwa nae sijui yuko wapi" ??
Beki mahiri, kisiki, mtaalamu wa kupiga yale mashuti ya penalti, aliyewahi kuwa kepteni wa Taifa stars na dawa ya washambuliaji je yuko wapi?
View ArticleNi mwendo wa vipigo tu: Yanga yagonga Wazungu wengine Turkey
Ni mwendo wa vipigo tu: Katika mechi yake ya 2 ya kujipima nguvu, Wafalme wa kusakata kabumbu nchini Tanzania Dar Young Africans almaaruf kama Yanga wameifunga team ya Altay S.K inayoshiriki Ligi...
View Article