Ikicheza kwa kushambulia kutokea pande zote za uwanja(kushoto na kulia)Yanga leo imeshikwa shati na timu ya ligi kuu ya Kazakhstan(KS Flamurtari)
Mchezo huu ambao umemalizika muda mfupi uliopita umeshuhudia wazungu hao wakishangilia kuambulia suluhu hiyo ya bila magori.
Aidha kocha wa timu hiyo ya ligi kuu ya nchini kazakhstan ameipongeza sana Yanga kwa mchezo mzuri na wa kiufundi huku akiomba kuonana na viongozi kuona kama anaweza kumnunua mchezaji mmoja ambaye hata hivyo hakumtaja jina.
Wakati huo huo wazungu wengine ambao inaonyesha wanafurahia kupata vipigo kutoka kwa Yanga nao pia wameomba kucheza na mabingwa hao wa tanzania siku ya J4.
Yanga kwanza...................