Nimesikitishwa sana kipindi kinaendelea sasa na mada kuu inamuhusu yeye lakini hayupo, yupo Tarimba tuu
MADA
"Siku 100 za uongoz mpya wa TFF kuingia madarakan, Yap mafanikio na changamoto zilizopo!"
Watu wanachangia vizuri sana, lakin maswali mengi na hoja nyingi zinaitaji ufafanuz wa rais, wakat hayupo.....