News Alert: Nguvu ya mbeya city ni siasa tu ....
Nilikua natafakari vijana wa mbeya city wanavyojituma mwanzo wa gemu mpaka mwisho .....nimegundua ni siasa ndo inaibeba hiyo timu ..mbeya mjini ni jimbo linalotawaliwa ba chadema at the same time ccm...
View ArticleTFF hatuhitaji sherehe, tunahitaji kucheza kombe la dunia.
Tumesikia TFF eti wanaandaa sherehe ya kutimiza miaka 50 tena kwa kujiunga na FIFA sio ya kuanzishwa kwake! Hii ni fedheha tu kwa wapenda soka hapa nchini, hivi inatusaidia nini sherehe hii? Mie sioni...
View ArticleChelsea inaweza kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu??
Ni jumatatu iliyo pita chelsea iliivunja rekodi ya Man City ya kutokufungwa katika uwanja wake wa Etihad na kuacha gumzo kubwa England baada ya timu ya Man City kufungwa mara mbili na Chelsea. Makocha...
View ArticleKipima Joto ITV: Jamali Malinzi akimbia Kipindi
Nimesikitishwa sana kipindi kinaendelea sasa na mada kuu inamuhusu yeye lakini hayupo, yupo Tarimba tuu MADA "Siku 100 za uongoz mpya wa TFF kuingia madarakan, Yap mafanikio na changamoto zilizopo!"...
View ArticleKwa kauli hii ya Mourinho kuvunja daraja kwa mtutu is 'inevitable'
We love the big games..."two horses and a little horse that still needs milk and to learn how to jump.Mourinho tunakushukuru kwa kutusaidia kukaa hapa juu lakini kutokana na dharau zako daraja...
View ArticleOlimpiki ya msimu baridi yaanza Sochi
Mashindano yaliyo gharimu Kitita kikubwa zaidi katika historia ya Olimpiki yatafunguliwa Urusi leo huku medali 98 ziking'ang'aniwa katika siku kumi na sita. Sochi, ambayo iko katika pwani ya Urusi...
View ArticleMalinzi: Ulikwenda kwa lowassa kufanya nini?
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, ana haki zote za kuwa na urafiki na mtu na kumsapoti katika jambo lolote lenye heri. Ili mradi havunji sheria za nchi, Malinzi...
View ArticleNgassa - 'Hamisi Tambwe ni bonge la mshambuliaji'
Hayo ni maoni ya Ngassa aliyoyatupia Acc yake ya Twitter! Kama yalivyonaswa ShaffihDauda blog! Wahenga huwa hawakosei! Kizuri kinajiuza!!kibaya .......!
View ArticleLive updates; yanga sc vs komorozine de domoni. 08/02/2014.
Jeshi kamili la timu ya YANGA linashuka leo jioni kwenye uwanja wa TAIFA, kuifanyia mauji ya kufuru timu toka comoro. cc mandieta, watu8 Kitobu ndetichia WABHEJASANA Masuke na wengineo wote wapenda...
View ArticleSSC NAPOLI vs AC MILAN
Ligi kuu ya nchini italia almaarufu Serie A inaendelea leo na Vilab vya SSC NAPOL na AC MILAN vinakutana leo kwenye dimba la san paulo mjini nepol. Kocha wa milan Clarence Seedorf anakwenda kukutana...
View ArticleLiverpool vs Arsenal EPL 8/2/2014 Live Updates
Leo ni leo wakulu! Arsenal atabaki kileleni? UPDATES# Liverpool. 5 Arsenal 1 Skrtel 1 dkk1. Skrtel 2.dkk 10. Starling 3 dkk 16. Sturridge 4 dkk 19. Starling 5 dkk 52. Arteta 1 dkk 68 FULL TIME...
View ArticleBrazilian striker Maicon killed in car crash
Aliyekuwa striker wa brazil maicon amefariki dunia kwa ajali ya gari.. =========== The 25-year-old Brazilian, who joined Shakhtar in 2012, had been on loan at top-flight rivals Illichivets Mariupol...
View Articlelive Updates CHELSEA vs NEWCASTLE UTD now @ starmford bridge
here we goooo chelsea watafanya nn leo nyumbani . . #newcastle vs chelsea . 27min 1 goal = EDEN HAZARD . . 34 min 2 goal = EDEN HAZARD . . 49 min = Yellow card - Sammy Ameobi 61 min = yellow card -...
View ArticleKudos kenya,lakini tunataka taji kuu
IRB SEVENS RUGBY BOWL CHAMPIONS IN NEW ZEALAND MAIN CUP WINNERS N.ZEALAND PLATE WINNERS that was the world rugby sevens in new zealand winners pictures.lets met in japan next
View ArticleNews Alert: Ruaha marathon 2014- news update
RUAHA MARATHON 2014 Another big event in Iringa on 25th May, 2014 RUAHA MARATHON which going to attracts more than two thousand people Runners and observers. WHY RUAHA MARATHON? To create awareness on...
View ArticleChelsea itaweza kuifunga tena Man City Etihad katika FA cup 15/2/2014?
Tarehe 15 mwezi huu kutakua na mechi kati ya Man City na Chelsea ya FA cup katika uwanja wa Etihad. Huku chelsea ikiwa imeifunga Man City mara mbili Darajani na Etihad, swali ni kwamba chelsea itaweza...
View ArticleLive Updates: Azam & Simba Matches
Baada ya Yanga kuinyanyasa Comorozine de Domoni ya Comoro kwa magoli ya 'week' nzima; leo ni zamu ya Azam kukutana na Ferroviario ya Msumbiji katika uwanja wa Azam Complex. Wakati huo huo baada ya...
View Article