Kwa hali inavoendelea pale ngome kongwe (old trafod) ni dhahiri wa shahiri timu yao inaenda uefa ndogo ambayo mechi zake huchezwa Alhamis mida ya sa4 kasoro usiku muda ambao Futuhi wanakua hewani. Je we mshabiki wa mpira ni bora uangalie game ya man u au Futuhi?
↧