Msaada kwenye betting
Niaje wana jf.. mm ni mteja mzuri sana wa mhindi kwenye mambo ya bettin, ila since last week naona mambo hayaendi kabisaa yaaani,, nachana mikeka tuuu... hebu leo tusaidiane kidogo, wataalamu wa mambo...
View ArticleNi kweli TFF Haina pesa ya kusafirishia VIATU vya bure toka UK?
Chanzo- BBC Swahili michezo na wachezaji. Moja wa maboss wa TFF amesikika ktk kipidi cha BBC Swahili michezo na wachezaji. akisema kuwa "TFF haina PESA ya kusafirisha kontena mbili za viatu...
View ArticleWachezaji simba sc wamchoma loga kwa rage, lakini
WACHEZAJI wa Simba SC wameahidi kwenda kupigana kufa na kupona kwa ajili ya ushindi dhidi ya Mbeya City Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Kikao...
View ArticleUshauri kwa YANGA / Yusuf Manji
Mwenyekiti wangu Yusuf Manji. Salaam aleikhum! Awali ya yote naomba niupongeze uongozi wa Yanga chini ya stewardship yako imara kwa mafanikio mliyoyapata on and off the pitch tangia mlipochaguliwa....
View ArticleMan united leo twendeni kifua mbele Emirates
Mashabiki wa Man U hatuna haja ya kuhofia mechi yetu ya leo, kuku wako kwa nini kumfukuza, ataingia bandani nawe kumchukua na kumchinja, supu saaafiiii, leo twendeni kifua mbele na tena kwa kujidai...
View ArticleFlop Arsenal
Arsenal in top of table is like an elephant in a top of a tree Nobody knows how he get there but everyone knows that he'll fall..hahahahaha
View ArticleManchester na kukipiga wakati wa Futuhi
Kwa hali inavoendelea pale ngome kongwe (old trafod) ni dhahiri wa shahiri timu yao inaenda uefa ndogo ambayo mechi zake huchezwa Alhamis mida ya sa4 kasoro usiku muda ambao Futuhi wanakua hewani. Je...
View ArticleFIFA yamuidhinisha Okwi kuichezea Young African
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limemuidhinisha mshambuliaji Mganda, Emmanuel Arnold Okwi kuchezea klabu ya Yanga ya Dar es Salaam. Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Celestine...
View ArticleMan utd ikicheza uefa champions league msimu ujao,mimi nitatembea uchi
Mara nyini nimekua ni mtu wa kutimiza ahadi zangu ninazoziweka,safari hii ahadi yangu ni kwamba man utd ikicheza uefa mwakani mi nitatembea uchi kwa muda wa siku 3,kutoka ubungo hadi kariakoo
View Article'Kinda' Wa Lazio Adaiwa Kuwa Na Miaka 41
Italian club Lazio have released official documents to prove that 17-year-old midfielder Joseph Minala is not actually 41. Minala caused a stir this week because of his appearance after being one of...
View ArticleYa Okwi yametimia,sasa twendeni Mbeya J'Mosi tukamsaport Mnyama!!!!
Habari ya mjini ni Okwi ruksa kukipiga Yanga,sasa hayo tuyaache maana tayari Okwi ni mali ya Yanga.Sasa twendeni Mbeya tukampe support mzee mwenzetu Simba aka 'nyau'. Maana kama Simba akipigwa na...
View ArticleShaffih Dauda
Habari wana JF. Nikiwa mtanzania na mshabiki mkubwa wa Taifa stars na Manchester United ila leo nikiwa nasikiliza kipindi cha sport extra cha Clouds FM, ndiyo kipindi pekee huwa nasikiliza cha radio...
View ArticleWhy Wenger still believe on Giroud
Hili ni swali jepesi lakini kwa upande wa pili ni gumu sana.kipindi kabla ya henry hajaondoka arsenal wakiwepo wakina jeans lehman,babtista,clichy,fabrega s wakat mdogo mdogo,song pale ilikuwa tishio...
View ArticleWAZEE WA BOXING (NDONGA): Hivi ni chama gani kinasimamia mchezo wa Ngumi...
Wadau wa Michezo hususani wa boxing, hivi ni chama gani kipo kisheria kusimamia mchezo wa ngumi (boxing) Tanzania??? Na pia taratibu ziko vipi katika kuandaa mapambano mbali mbali ya ngumi?? Ni chama...
View ArticleBenchi la ufundi la Simba kuingia uwanjani na kumzingira refa sheria inasemaje??
Juzi jumamosi nilikuepo sokoine kushuhudia pambano la mbeya city na simba. Filimbi ya mapumziko refa alivopuliza kipenga cha mapunziko, gafla bench la ufundi la simba na wachezaji walingia uwanjani na...
View ArticleArsenal hii noma
Kwa wapenzi wa Liverpool jana ilikuwa ni kilio na kusaga meno baada ya dk ya 90 kwani ilikuwa ndio mwisho wa safari yao ya FA baada ya kutolewa nishai kwa kubandikwa 2-1...chezea Bunduki weeeeeeeeee
View ArticleAzam rejeeni bongo tuwashangilie Yanga
Ni pigo kwa wana rambaramba na majigambo yao mengi oooo sisi ni timu bora ooootutafika mbali, sasa kiko wapi? Njoo muwashangilie Yanga baaana
View ArticleJe wajua sheria za ku bet? Katika soka...... Hizi hapa sheria 11
Wapenzi wajf kalibuni tena katika ukurasa hu. Hivi unazijua sheria za ku bet katika soka...... 1. Usi bet kama mshabiki wa timu flani labda kama mshabiki wa arsenal,liver,man u,juve,barc au zinginezo...
View Article