Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers - Sports
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Live Update: Mtibwa Sugar vs Yanga SC / Azam FC vs Coastal Union

$
0
0
Ligi kuu Tanzania bara inaendelea tena leo kwa mechi kali mjini Morogoro na kule Chamazi Complex
Azam itakuwa uwanja wa nyumbani kutafuta points 3 muhimu dhidi ya wagosi wa kaya Coastal Union , ushindi ni muhimu kwa Azam fc ili kujichimbia kilele zaidi sasa wakiongoza ligi kwa points 40
Mjini Morogoro Mtibwa Sugar itaikaribisha Yanga yenye points 38, ikumbukwe Yanga imeshinda mara ya mwisho mjini Morogoro september 19 mwaka 2009, leo itapambana kutafuta ushindi wa kwanza ndani ya miaka 4 iliyopita, vilevile itamkosa kiungo wake mahiri Mrisho Ngassa alie majeruhi.
Mechi zote zitachezwa saa kumi kamili jioni

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5565

Trending Articles