Bayern Boss Jailed
Muda umefika kwa UEFA kuwatimua Bayern toka UCL lol Hoeness trial: Bayern Munich boss jailed A German court has sentenced Uli Hoeness, president of European football champions Bayern Munich, to three...
View ArticleUharibifu viti taifa: Simba waishangaa TFF kulipa faini !
BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kukubali kulipa sh.milioni 15 kutokana na uharibifu Uwanja wa Taifa uliofanywa na mashabiki wakati wa mechi ya Yanga na Al Alhy ya Misri walipocheza mechi...
View ArticleTottenham vs Arsenal in EPL 16/3/2014
Wadau habarini zenu, leo ebu tujadili mechi ya Tottenham na Arsenal hiyo siku ya jumapili tukiangalia uwezekano wa Tottenham au Arsenal kushinda. Ukirudi nyuma kuangalia mechi zao za wikiendi iliyopita...
View Articlemeridian,iplay8casino,m-bet..n.k
habari wakuu hivi kati ya hizi ipi ni nzur na ni simple kupiga mpunga??
View Article""bahanuzi"" wangu
Mdogo wangu mmoja anaeitwa bahanuzi na ni mpenzi wa simba alianza kutuchekesha jana pale aliposema mnamkaanga bahanuzi bure tu ningekuwa mimi ningewajibu yaani kwenye ligi awanichezeshi alafu wanataka...
View ArticleMtanzania ashinda Semi marathon I de Djibouti
Mtanzania kashika no 3 kwenye Semi Marthon De Djibouti muda huuu No moja imechukuliwa na Djibouti na No2 imechukuliwa na Kenya More information to come soon
View ArticleBodi ya Ligi na TFF ndani ya bifu zito
Taarifa za uhakika ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba kuna hali ya kutoelewana kati ya TFF na bodi ya ligi. Chanzo cha kutokuwepo kwa maelewano mazuri baina ya uongozi wa bodi na TFF ni kutokana na...
View ArticleYanga shift focus on title race
Vodacom Premier League defending Champions,Yanga will look to bounce back against hosts Mtibwa Sugar on Saturday afternoon as they resume their league title quest after being bundled out of the CAF...
View ArticleNews Alert: Hawa ndo yanga bwana - angalia jeuri ya pesa
Uongozi waklabu bingwa ya Tanzania bara Dar Young Africans umeonyesha mfano wa kuigwa kwaviongozi wengine wa soka nchini siku moja baada ya kurudi kutoka Misriwalipoenda na timu kwenye mchezo dhidi ya...
View ArticleLive Update: Mtibwa Sugar vs Yanga SC / Azam FC vs Coastal Union
Ligi kuu Tanzania bara inaendelea tena leo kwa mechi kali mjini Morogoro na kule Chamazi Complex Azam itakuwa uwanja wa nyumbani kutafuta points 3 muhimu dhidi ya wagosi wa kaya Coastal Union , ushindi...
View ArticleHabari za uhakika: Dozi ya Manure yakamilika
MELWOOD,LIVERPOOL Habari za uhakika nilizozipata hivi punde zinasema kwamba dozi kwa ajili ya timu inayosumbuliwa na maradhi kadhaa ya manure imekamilika,na dozi hiyo itasaidia timu hii kuwa na amani...
View ArticleTimu ya Yanga yapata ajali Mikese
YANGA WANUSURIKA: Wachezaji wa Timu ya Yanga na viongozi wanusurika asubuhi hii kufuatia basi lao kuingia kwenye mtaro Mikese, Morogoro, wote wako salama. Ikumbukwe Yanga jana jioni walishuka katika...
View ArticleBarcelona line up Rodgers as next boss
Barcelona line up Rodgers as next boss Barcelona are preparing to offer Liverpool boss Brendan Rodgers the chance to replace Gerardo Martino this summer. Eurosport – 16/03/2014 : 10 hours ago...
View ArticleRage Kawageuza Simba Misukule Yake
Nimeangalia hii video namna Rage alivyokuwa anaongea kwa kejeli jana kwenye mkutano wa Simba hadi akafikia ya kuwaita wanachama mambumbumbu na bado wakaishia kupigana wao kwa wao. Kwa mara ya kwanza...
View ArticleKali ya mwaka simba yamnunua mchezaji wake ilomtoa bureeee
KIUNGO anayeweza kucheza nafasi za ulinzi pia, Shomary Kapombe atarejea kwenye kikosi cha Simba SC msimu ujao baada ya makubaliano yaliyofikiwa baina ya klabu hiyo na AS Cannes ya Ufaransa. Habari za...
View ArticleMan U itawachukua miaka kumi.
Danny Mills mchezaji wa zamani wa man u na kimataifa amesema kuwa itawachukua miaka 10 kutwaa tena ubingwa
View ArticleKuusu bahanuzi
Kuusu bahanuzi mi sioni tatizo maana kila mtu bahanuzi kuna nini kafanya nini hamjui kuwa kila mtu huwa anabahatisha?
View ArticleThe king is back "Messi"
huku Barca ikishinda goli saba bila , king wa ukweli kapiga hat trick na kuvunja record na kuweka record mpya kama mfungaji bora wa barca wa muda wote kwa kutupia jumla ya migoli 371 akimpita aliyekuwa...
View ArticleRage awapa makavu wanasimba
NILIIKUTA SIMBA INANUKA MAVI NA MADIRISHA YA MAGUNIA Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage amesema ataiacha Simba katika hali nzuri tofauti na alivyokabidhiwa wakati uongozi wake unaingia madarakani....
View ArticleUefa champions chelsea vs galatasalay 18/3/2014
Wadau mech kali ndo hi siyo ile ya madrid na shalk 04. Hapa mo atakuwa anamkaribixa garatasalay tna ikiongonzwa na drogba na snijder huku chels wakiwa na babu wao kikongwe eto na ba. Swali kubwa je nan...
View Article