Ahadi hiyo imetolewa na viongozi wa makahaba wa maeneo ya Buguruni
Kimboka, Sewa , Temeke, Tandika na Sokota. Mwenyekiti wao ambae
alifahamika kwa jina moja la Siwatu aliyasema hayo leo na kunbainisha
kuwa huduma hiyo ni kwa ajili ya washabiki na wachezaji wa simba tu.