Quantcast
Channel: JamiiForums | The Home of Great Thinkers - Sports
Browsing all 5565 articles
Browse latest View live

Ma dada poa kugawa uroda bure kama timu itatwaa ubingwa afcon2013..

Prostitutes in Nigeria say they are happy over the victory of Super Eagles against Ethiopia in the on-going African Cup of Nations competition. The prostitutes under the aegis of Nigeria Association of...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Simba sc vs libolo!

Hili jina la hii timu itakayocheza na simba litawasumbua sana mashabiki wa simba hasa kama watafungwa..,mashabiki wa yanga hawatakua na kazi kubwa sana ya kutengeneza kejeli za maudhi dhidi ya...

View Article


sruggle football club tunaomba msaada jezi, mipira, usafiri tumesajiriwa tupo...

sisi ni timu ya mpira wa mguu iliyosajiliwa na msajili wa michezo chini ya''NATIONAL SPORTS COUNCIL OF TANZANIA ACT'' ya mwaka 1967 tarehe 05/10/2010 namba ya usajili ni Msc9606(nakala imeambatanishwa)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*****Happy Birthday to Me***** Special from Man City FC

Habari wadau wa JF Sports natumai mu wazima wa afya.. leo baada ya kuingia kwenye email yangu leo na kukuta manchester city wameni wish happy birthday ndio nikakumbuka kuwa leo ni siku yangu ya...

View Article

Yanga sc vs mtibwa sugar fc

Dk ya 2

View Article


Watangazaji wa mpira wa bongo unazi mtaacha lini

Huyu mtangazaji anaetangaza mpira kati ya yanga na mtibwa mnazi sana yani yanga imefungwa kanyong'onyeaaaaaaaaa!! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

View Article

Tuisaidie Mamlaka ya Elimu Tanzania Kupitia SIMBA NA YANGA

Wakuu, Inapendekezwa kila Mwezi Simba na Yanga zicheze Mechi Maalum katika uwanja wa Wembley London na sisi Watanzania tutoe kodi maalum ya Elimu ya shilingi 500 kwa kilaline ya simu ya mkononi kila...

View Article

Simba ikishinda kesho, makahaba kutoa huduma Bure

Ahadi hiyo imetolewa na viongozi wa makahaba wa maeneo ya Buguruni Kimboka, Sewa , Temeke, Tandika na Sokota. Mwenyekiti wao ambae alifahamika kwa jina moja la Siwatu aliyasema hayo leo na kunbainisha...

View Article


Wazee wa uturuki na wakata miwa wa turian

,,,,,kabisa utafahamu kua soka la bongo bado limejaa politics.ukifika uwanjani hauwezi kutofautisha kati ya timu yenye mwalimu mzungu na timu yenye mwalimu mzawa.hauwezi kufaham pia timu i;liyopiga...

View Article


GHANA 2- 0 CAPE VERDE: Ghana fail to impress

Ghana is through to the semi finals thanks to two goals from Wakaso. This was less than an impressive performance and on the balance of play, Cape Verde will feel they at least should have taken the...

View Article

Kocha anafundisha jinsi ya kudanganya kuanguka..

http://<a href="http://m.youtube.com...0XuPlde-Z0</a>

View Article

Tanzia: Joel Mkude aaga dunia

Aliyekuwa Msajili wa Klabu na vyama vya michezo wilaya ya Ilala Ndg.Joel Mkude(Zeno) amefariki muda si mrefu... Source mimi ni mmoja wa ndugu wa marehemu na maiti ipo Mochwari,msiba upo nyumbani kwake...

View Article

Drogba astaafu vibaya

Ivory Coast imenyukwa mabao 2-1 na Nigeria na kuishia kwenye Robo Fainali AFCON. Ndoto yake ya kunyakua Kombe hili zimeyeyuka kama mshumaa.Pole kwa Drogba na Tembo wote;hongera kwa Nigeria.

View Article


Messi na Ronaldo

Wana jf naomba mnisaidie kujua na ronaldo mesi wana magoli mangapi msimu huu kwenye ligi zote walizoshiriki?

View Article

The blues(chelsea)

Chelsea's Mikel receives Goal.com Nigeria player of the year award The Blues midfielder has accepted the award voted for by readers of the site ahead of the Super Eagles’ quarter final match against...

View Article


AC Milan uwanjani;Balotelli acheka na wavu

Ni AC dhidi ya Udinese.Tayari,katika dakika ya 25,Mario Balotelli ameshapachika bao moja kwa AC Milan.Milan wana nafasi ya kuchumpa hadi nafasi ya nne kama ikishinda kufuatia kufungwa kwa Inter Milan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muhammad Ali 'could die within days', says his brother Rahman

Sport Muhammad Ali Muhammad Ali 'could die within days', says his brother Rahman Muhammad Ali won gold at the 1960 Olympics and went on to become a three-times world heavyweight champion. Photograph:...

View Article


Mourinho kurudi chelsea

The Special One anataka kurudi kwenda kuiokoa team yake "kipenzi" ya Chelsea. Soma hapa http://www.thesun.co.uk/sol/homepage...ea-return.html

View Article

SOUTH AFRICA 1 – 1 MALI: A game all about midfield

The host nation were knocked out after failing to convert 3 of their penalties in the shootout after the game ended one all after extra time. The main protagonists for this game were the six...

View Article

Barca: Super team

Barca: Super team Man U: Super manager Madrid: Super players Man city: Super squad Chelsea: Super owner Arsenal: Super market

View Article
Browsing all 5565 articles
Browse latest View live