Aliyekuwa Msajili wa Klabu na vyama vya michezo wilaya ya Ilala Ndg.Joel Mkude(Zeno) amefariki muda si mrefu...
Source mimi ni mmoja wa ndugu wa marehemu na maiti ipo Mochwari,msiba upo nyumbani kwake Ilala