Sababu za kuchemka vigogo wa soka ulaya spain, italy na england walitoka round ya kwanza world cup..
spain
1.spain walinangania majina badala ya uwezo, maana waliwanangania wachezaji ambayo kasi yao ya mpira imepungua, wakashidwa kucheza mpira wa kisasa wa kasi ambao unachezwa na vijana wenye umri mdogo, au hata ni mtu mwenye umri mkubwa lakini anatakiwa awe na kasi na nguvu, hatakama unacheza mpira wa pasi, waliacha kuchezesha watu kama akina koke, isco, de gea, carvajal, mata, sant-carzola pedro , martinez, bartra wakanangania watu kama casilas, xavi, xabi, pique watu ambao kasi imepungua sana.
-kushidwa kusoma mazingira na kugamua kwamba timu ya taifa ya spain ilikuwaimejegwa kupitia backbone ya timu ya barcelona kasoro messi (pique, busquets, xavi, iniesta, villa(wakati ule), fabregas,alba kwa hiyo kuanguka kwa barcelona ingekuwa ni signal ya kubadili baadhi ya mambo.
2. Italy ambaye ni pia mwanafainali pwa euro 2012 nao kwa mtazamo wangu walikuwa na shida kwenye kuchagua na kupanga kikosi, kama ukiangalia kwa makini italy walikuwa wakicheza vizuri sana mpaka kwenye kiungo lakini kufunga ikwa shida, lakini kocha aliwaacha washambuliaji wazuri kama el-sharawy na rossi, lakini kiungo kama verrati hakupewa nafasi ya kutosha.
3.England kama kawaida yao wametokota tena lakini naona wana matatizo yale yale kwanza kupanga majina zaidi kuliko uwezo mfano gerrad, rooney hata baines, ukiangalia mechi kama ya uruguay gerad ndo alifanya makosa na kusababisha magoli yote mawili na makosa kama hayo kafanya msimu uliopita na kuwanyima liverpool ubigwa
-jambo lingine ni vyombo vya habari na mashabiki uingereza kuweka pressure kubwa kwa wachezaji, mpaka inafikia wachezaji wanaogopa na kuchukia kuchezea timu ya taifa(maneno ya harry rednup), wachezaji wa uingereza wanakuwa wanaogopa mashabiki na vyombo vya habari hata kuliko wapinzani wao
-lakini jambo lingine kwenye mashindano mengi makubwa uingereza wamekuwa na tabia ya kutafuta mtu au kitu cha kusingizia wanaposhidwa na kusahau kutatua maswala ya msingi, mfano mwaka 1998 walilaumu sana kadi nyekundu ya beckam, mwaka 2010 walilaumu kukataliwa goli la lampard mpaka kufikia kulazimisha goal line techonology FIFA. Mwaka huu ukiacha mambo mengine wanalaumu hali ya hewa ya joto, wakisahau karibia asilimia 85 ya wachezaji wengine kwenye timu zinazoshinda (zikiwemo na zolizo wafunga) wanacheza ulaya na kuishi ulaya muda mwingi, lakini pia vyombo vyao vya habari vimeamisha mjadala kwenye sakata la suarez( labda ni kwa chuki ya kupigwa goli mbili) wanakomaa na liverpool wamfukuze huku wakisahau kabisa mjadala wa kwanini timu yao inachemka.? Mwisho wanaweza kwenda kwenye kombe lingine la dunia wakiwa na matatizo yale yale..