Hivi FIFA ina jeshi?!
Putin bwana! Baada ya Russia kutolewa kwenye michuano ya world cup pale Brazil kwa kupitia sheria za FIFA, Rais Putin amepinga na amesema atatumia jeshi kuhakikisha Russia inabaki mashindanoni.
View ArticleTetesi: Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba, amekwenda kumshitaki Wambura!
NDUMBARO AENDA KUMSHITAKI WAMBURA: Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, Damas Ndumbaro, amepanda ndege kwenda Fifa kumshitaki Michael Wambura!
View ArticleMinziro amewaita Chuji na Luhuende ..!
KOCHA JKT RUVU AWAITA CHUJI, LUHENDE: Kocha wa JKT Ruvu, Fred Felix Minziro amewaita kiungo mkabaji, Athumani Idd na David Luhuende kwenye kikosi chake.
View ArticleKesi yakuzuia uchaguzi wa Simba inaendelea mahakamani muda huu
Kesi yakuzuia uchaguzi wa Simba inaendelea mahakamani muda huu, endelea kufuatana nasi na uwe wa kwanza kuhabarika na kesi hii inayosubiriwa kwa hamu na wanamichezo Tanzania
View ArticleKiungo Mbrazil wa Yanga awasili
kiungo mbrazil wa Yanga amewasili tayari habari zaidi zitafuatia Attached Thumbnails Â
View ArticleNews Alert: Kombe la dunia:timu 16 bora
Wakuu salama?kwa wale mashabiki wa mpira nina imani mmepata burudani ya kutosha kwenye mashindano haya tangu yaanze tar.12.June.aidha wengi wetu tumehuzunika kwa kutolewa kwa timu zetu za Afrika katika...
View ArticleKESI YA UCHAGUZI SIMBA yatupilwa mbali wawili WAZIMIA!
Mahakama Kuu Dar leo yatupilia mbali ombi la wanachama 3 wa Simba SC la kuzuia uchaguzi mkuu wa klabu hiyo. Wawili wazimia kwa mshtuko. Chanzo:mwananchi
View ArticleNews Alert: World cup 2014 : Roadmap to the Final
In world cup 2014 round 16 scheduled to start on Saturday, continental representation is as follows: - AMERICA : Represented by 8 countries EUROPE : Represented by 6 countries AFRICA : Represented by 2...
View ArticleHongera Azam FC Kujali Afya za Wachezaji
AZAM FC imelazimika kwenda kumfanyia matibabu ya nyama za paja kiungo Frank Domayo iliyemsajili miezi miwili iliyopita kutoka Yanga SC ya Dar es Salaam. Domayo amekuwa akicheza na majeruhi bila...
View ArticleMtazamo wangu kuhusu kuchemka kwa vigogo wa soka ulaya kwenye kombe la dunia
Sababu za kuchemka vigogo wa soka ulaya spain, italy na england walitoka round ya kwanza world cup.. spain 1.spain walinangania majina badala ya uwezo, maana waliwanangania wachezaji ambayo kasi yao ya...
View ArticleNews Alert: Nigeria wagoma kufanya mazoezi
Timu ya Nigeria imegoma kufanya mazoezi kukabiliana na ufaransa ktk round ya pili kisa wanadai hawajalipwa posho
View ArticleNews Alert: Nigeria wagoma kufanya mazoezi
Timu ya Nigeria imegoma kufanya mazoezi kukabiliana na ufaransa ktk round ya pili kisa wanadai hawajalipwa posho.RFA NEW
View ArticleNawaza Mbali....Siku Maximo atakapotimuliwa Jangwani na Yanga!!!
Maximo hatimaye amesaini mkataba mnono wa kuifundisha Yanga kwa miaka miwili. Hongera sana Maximo, binafsi nakutambua vyema na una NIDHAMU kubwa sana ya mpira ambayo wachezaji wetu wengi hawana. Tatizo...
View Articlekaburu:ntatafuta point tatu popote
Ndugu mwans jf kauli hiyo ya kaburu unaitafsiri vp??? Huko nyuma ndugu kaburu amekuwa akishutumiwa kupaanga matokeo kwa kuwahonga wachezaji wa timu pinzani ili wafungishe...sasa nikiangalia shutuma...
View ArticleNimeota maximo kakimbia baada ya miezi mitatu
Naamini ndoto zinatimia kama usipozifanyia kazi wanayanga endeleeni na maombi nimeota jamaa amevurugana. Na uongozi akaitsha press kama jana usiku akaondoka na kenya airways
View ArticleMashaka yangu na ukocha wa Maximo
jamani naombeni wana yanga mje kwa wingi mnitoe hofu yangu pengine yakawa ni mawazo mabaya tu ndo mana nataka wanaomfahamu vizuri Maximo waje watupe data sahihi. Naomba kujua baada ya Maximo kuacha...
View ArticleEdo kumwembe unakera!!!
Namuheshimu kama moja ya wachambuzi mahiri wa soka kibongobongo na mwandishi mahiri wa makala lakini hii tabia yake aya kusifia kila kitu cha uzunguni inakera sana..yaan kwa huyu jamaa kila kitu...
View ArticleUruguay na Colombia
Mechi za leo kweli ni kali.Ukiacha hii ya Brazil na Chile iliyoisha muda si mrefu Brazili katokea tundu la Sindano.Colombia ingawa hawajawahi kuchukua kombe hili tokea michuano hii kuanza hapo 1930...
View ArticleTimu moja ya Afrika lazima ifike robo fainali
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya timu za Afrika hazijatupa karata zao siku ya kesho mimi naamini timu moja kutoka afrika kati ya Nigeria au Algeria lazima watinge robo fainali.. Mungu ibariki Afrika...
View Article