jamani naombeni wana yanga mje kwa wingi mnitoe hofu yangu pengine yakawa ni mawazo mabaya tu ndo mana nataka wanaomfahamu vizuri Maximo waje watupe data sahihi.
Naomba kujua baada ya Maximo kuacha kuifundisha Taifa stars amekua akifanya shughuli gani nchini kwake Brazil? Je kuna team yyte alikua akiifundisha na mnipe mafanikio ya hyo timu. Pia ntafrah zaid kama ntapata historia ya mafanikio ya huyu mtu katika tasnia ya football.
Nataka kujua hili ili kutoa mashaka yangu kuwa isije kuwa tz ndo mahala pekee wanapomkubali je kuna mahali pengne popote wanapomuhitaji?