Ndugu JM, pole kwa kazi ngumu ya kuongoza soka la nchi yetu.
Ndugu sisi wenye elimu ndogo hatukuelewi,maono yako labda ni ya mbali. Hivi toka uingie ofsini umeachieve nini?
Halafu lile dili la tukuyu mbona limeisha kimyakimya? Nani mchezaji aliyeibuliwa na program ile?
Vipi nasikia yanga hawachukui pesa za azam tv kwa mjibu wa mdau huko tff,et pesa yao imewekwa kwenye account maalum ni ip na ni ya nani au iko fixed account? .na ni mpaka lini au suala hili limewashinda?
Hivi hii suala la kalenda ya fifa ni suala la dharura mpaka liathiri ratiba ya ligi kuu?
Suala stand united na mwadui fc na jkt kanembwa,hii yale maamuzi ni ukwel yamezingatia uhalisia?.
Kiukwel ninamengi, karibuni wadau.