Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2014/2015
Hii ni ratiba ya ligi kuu Tanzania bara 2014/2015 Attached Files Copy of VPL-FIXTURE-2014.20151.xls (476.0 KB)
View ArticleUhamiaji wawazuia Okwi, Kiongera kucheza Simba
Idara ya Uhamiaji Tanzania, imetoa tamko la kuwazuia washambuliaji wawili wa Simba, Paul Kiongera raia wa Kenya na Emmanuel Okwi kutoka Uganda. Uhamiaji imesema wachezaji hao hawana kibali cha kufanya...
View ArticleTFF tafadhalini msitutee ebola
nimeona kwenye baadhi ya mitandao eti timu ya benin inakuja kucheza hapa nchini tarehe 12/10 nchi za magharibi mwa africa wameathirika na ebola tagadharini sana
View ArticleFredrick Mwakalebela kufikishwa mahakamani?
Frederick Mwakalebela ALIYEKUWA KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela amefunguliwa kesi No OB/RB/16369/2014 katika kituo cha Polisi cha Oysterbay cha jijini Dar es...
View ArticleFifa yasogeza mbele Simba Vs Yanga SC
kutokuwa makini watu wa tff kutozingatia kalenda za fifa hata ukiingia mtandao wa fifa unakuta kalenda yote ya mwaka mzima sasa mechi ya simba na yanga wacheze tarehe 8/10 saa 11 jioni itakuwa siku ya...
View ArticleTiketi za elektroniki bila kampuni yenye tenda ni maigizo ya kuigiza
Ndugu wapendwa nimefurahishwa na kauli ya mh alianza kama msemaji wa tff sijui sasa ni nani wame mu upgrade kidogo si haba kijanaa anajituma amejitahidi kuisifia sana mtindo wa et kama vile ni...
View ArticleMadhara ya Kutopima Afya za Wachezaji
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Leonel Saint-Preux atakuwa nje kwa wiki mbili kwa sababu ya maumivu ya kwenye unyayo wa mguu wa kushoto. Daktari wa Azam FC, Mbarouk Mlinga amesema kwamba mchezaji huyo wa...
View ArticleMapato ya mechi ya Yanga vs Azam mbona kimya?
Mmmmh pengine nilipitiwa kama kawaida tff hutangaza mapesa ya mechi na kutokana na mchezo huu kuhusisha et tkts natumaini walifanikiwa kiasi embu tukumbushane ni sh ngapi zilipatikana jamani?? na...
View ArticleGyan akanusha kutoa kafara
Nahodha wa Ghana Asamoah Gyan amekana madai ya kuhusishwa na kifo cha rafiki yake ambaye ni rapa Castro, na kusema madai hayo ni ya kipumbavu. Msanii huyo wa miaondoko ya kiafrika ambaye jina lake...
View ArticleMasheikh na Mapadre kusakata kabumbu Uwanja wa Taifa Oktoba 12
OKTOBA 12 mwaka huu katika kuadhimisha siku ya amani duniani viongozi wa dini wanatarajia kujitupa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kulisakata kabumbu safi kabisa, wakiwa na lengo la...
View ArticleWaaga mchuano baada ya kuagizwa kuvua hijab
Timu ya wanawake ya Qatar ya mchezo wa mpira wa vikapu imejiondoa kutoka mashindo ya bara Asia yanayofanyika huko Korea Kusini baada ya kuagizwa kuvua hijab kabla ya mechi yao dhidi ya timu ya...
View ArticleMayWeather kupigana na Pacquiao ikiwa atakubali kupigana na mkono wa kulia
Kwa wale wapenzi wa ngumi a k a boxing wenzangu na mie naona jiko la pambano ambalo linasubiriwa kwa hamu sana linazidi kupasha moto mpambano huo wa kukata na shoka ,maneno hayo yalitanabaishwa na...
View ArticlePremier League records and statistics
Kwa Msaada wa Wikipedia Club records TitlesMost titles: 13, Manchester UnitedMost consecutive title wins: 3, Manchester United twice (199899, 19992000, 200001) and (200607, 200708, 200809)....
View ArticleThe Dossier: Why Wengers Galactico-inspired philosophy is doomed to fail
The Frenchman used Real Madrid's ultimately underachieving side as a benchmark for how his team can function, but it could expose a lack of balance and hamper individuals By Ewan Roberts A summer...
View ArticleJamali malinzi; ni kama wadau hatukuelewi
Ndugu JM, pole kwa kazi ngumu ya kuongoza soka la nchi yetu. Ndugu sisi wenye elimu ndogo hatukuelewi,maono yako labda ni ya mbali. Hivi toka uingie ofsini umeachieve nini? Halafu lile dili la tukuyu...
View ArticleLigi Kuu Tanzania Bara, Raundi ya II: 27 Septemba 2014
Sat 27/09/14 Simba 16 : 00 Polisi Morogoro Mtibwa Sugar 16 : 00 Ndanda Azam 16 : 00 Ruvu Shooting Mbeya City 16 : 00 Coastal Union JKT Mgambo 16 : 00 Stand United Sun 28/09/14 JKT Ruvu 16 : 00 Kagera...
View ArticleWapi nitaangalia mechi zote za EPL zote bila fujo
Wadau nipo dar ni mgeni kidogo natafuta mahali pazuri ninapoweza kukaa na mchuchu wangu huku tukiangalia mechi za EPL zote kuanzia zinazorushwa S3 mpaka S7 na screen ziwe za kutosha bila kutunetune...
View ArticleFIFA ya Blatter inakufa
Wakati naangalia kipindi cha michezo CNN.Wametaarifu kua Raisi wa FIFA amekaa ripoti ya kashfa ya rushwa inayoihusu FIFA isisomwe hadharani.Anataka iwe siri.Huyu babu analiua hili shirikisho.Na...
View ArticleMaajabu ya tff, sasa inataka simba&yanga zikatwe fedha za vodacom, azam tv...
EXCLUSIVE: MAAJABU YA TFF, SASA INATAKA SIMBA&YANGA ZIKATWE FEDHA ZA VODACOM, AZAM TV IPEWE YENYEWE MWESIGWA Ukishangaa ya usiyemjua, utayaona ya TFF. Sasa imeibuka na jipya na kutaka Yanga, Simba...
View ArticleStand United poleni kwa ajali Hongera kwa ushindi
Habari zilizokuwa mitaa ya mji wa Shy leo asubuhi kufuatia ajali mliyoipata Singida zilitufanya mashabiki wenu tuwe na hofu iwapo mngetoka Mkwakwani lakini Hongereni sana kwa ushindi wa leo!Mzidi...
View Article