Wadau nipo dar ni mgeni kidogo natafuta mahali pazuri ninapoweza kukaa na mchuchu wangu huku tukiangalia mechi za EPL zote kuanzia zinazorushwa S3 mpaka S7 na screen ziwe za kutosha bila kutunetune chanels.
Weekend itaenda vizuri leo.
Nahitaji msaada wenu.
Weekend itaenda vizuri leo.
Nahitaji msaada wenu.