Pale Pesa inapozidi vipaji
Ndio, hakuna namna nyingine unayoweza kuelezea soka la sasa zaidi ya hii, Ni katika kipindi hichi ambapo inawezekana kumuona Luke Shaw akiwa na miaka 19 tu akiuzwa kwa zaidi ya paundi 25, zaidi ya...
View ArticleElectronic tickets
Wadau naomba mniambie codes za kununulia tiketi uwanja wa Taifa mechi ya leo simba na coastal
View ArticleSehemu za kufanya mazoezi ya viungo(GYM) hapa Dar
WanaJF nilikuwa nahitaji kujua GYM mbalimbali na mahali zinapopatikana hapa Dar..itakuwa vizuri kama zitaorodheshwa
View ArticleMaadili ya watoto wa Kitanzania yanaharibika
wizara ya utamaduni na michezo moja kwa moja inashiriki kuhalibu maadili ya watoto kuruhusu mambo ya fiesta kufanyika hadi usiku pombe kurusiwa na kufanyika kwenye viwanja vya mipira eti kampuni ya...
View ArticleParick Liewig kumrithi Vivik Azam Academy
MFARANSA Patrick Liewig anatarajiwa kuchukua nafasi ya Mhindi, Vivek Nagul aliyeachia ngazi katika akademi yaAzam FC ya Dar es Salaam. Katibu wa Azam FC, Nassor Idrissa Mohamed 'Father amesema kwamba...
View ArticleMashindano ya pikipiki: Kiambuu SuperBike
Published on Sep 21, 2014 Top riders in Kenya dominated in all categories, during the third edition of the national motocross championships at the Jamhuri grounds. Elsewhere Kiambu county hosted the...
View ArticleFootball Quotes. Pick ur favourites
1) Eric Cantona (On receiving an 8 months ban after kicking a fan): "When d seagulls follow d trawler, it's because they think that sardines will be thrown into d sea". 2) Ian Holloway (After Ugly win...
View ArticleBalotelli abaguliwa na mashabiki wa Manchester United kwenye mtandao wa Twitter
Mario Balotelli Polisi nchini Uingereza wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo mshambulizi wa Liverpool kutoka Italia Mario Balotelli alitukanwa kutokana na rangi ya ngozi yake kupitia kwa mtandao...
View ArticleHaya ni mapungufu makubwa kwenye mtandao wa TFF
Wakuu inawezekana labda ni kwa upande wangu.Ningeomba muifungue website ya TFF TFF | Tanzania Football Federation Sehem nimeyogundua haraka matatizo ni hizi TFF | Result Hapo utakuta matokeo mpaka ya...
View ArticleUshauri kwa CCM viwanja vya mpira
mimi nakubali viwanja vya mpira vimejengwa kwa michango ya wananchi kwa sherehe za ccm sasa ili viwanja viboreshwe ni bora muingie ubia makampuni au mwenye uwezo wa kuboresha hivyo viwanja viwanja...
View ArticleAfisa Wa FIFA: Qatar Hawatokuwa Wenyeji Wa Fainali Za Kombe La Dunia 2022
Afisa Wa FIFA: Qatar Hawatokuwa Wenyeji Wa Fainali Za Kombe La Dunia 2022 Afisa wa ngazi za juu za shirikisho la soka duniani FIFA, ametoboa siri na kueleza hadharani mpango wa nchi ya Qatar kuwa...
View ArticleKula Yanga Kulala Simba
Moja ya matukio yaliyosisimua wengi katika mchezo wa Simba na Coastal ni pale mchezaji nguli na Nahodha wa zamani wa Simba Juma K Juma alipotua uwanjani na moja kwa moja kwenda eneo wanalokaa...
View ArticleMasele utaiangusha Stand United, inachukiwa kwa ajili yako
Haya yanaonekana sana katika vijiwe vingi wananchi wanaichukia kwa kuifanya iwe timu ya ccm!Kama unataka kuiokoa jitoe na uwashawishi viongozi wa timu wamwangukie RC aibebe kwani anauwezo wa...
View ArticleKocha Mexime: Nimepandisha CV kuifunga Yanga ya Maximo
KOCHA Mkuu wa timu ya Mtibwa Sugar ya Manungu, Morogoro, Mecky Mexime amewashukuru wachezaji wake kwa kuifunga Yanga na hivyo kumfanya apandishe wasifu (CV) wake mbele ya mwalimu wake mkuu katika...
View ArticleMchezaji afariki dunia huko Uganda kufuatia bao la Frank Lampard
Fahad Musana, ambaye ni shabiki wa kutupwa wa klabu ya soka ya Chelsea, amefariki dunia baada ya mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Frank lampard, kuifungia Manchester City bao la kusawazisha, katika...
View ArticleSwali kwa kamati za uchaguzi za vilabu
Naomba kuwauliza hao kamati ya simba na yanga kama katika kipindi cha utawala wa kuongoza akatokea kiongozi amejiuzuru ni muda gani haruhusiwi kugombea tena
View ArticleKulanguliwa Tiketi ni Kujitakia -TFF
Ingawa imetolewa kwa nia nzuri kuhamasisha wadau kununua tiketi mapema kauli hii ya Wambura cum TFF ni kama inashadadia RUSHWA nchini maana implication yake ni kama inabariki walanguzi na kulaani...
View ArticleRatiba ya ligi kuu tanzania 2014/2015
Hii ni ratiba ya ligi kuu Tanzania bara 2014/2015 Attached Files Copy of VPL-FIXTURE-2014.20151.xls (476.0 KB)
View ArticleNdanda kileleni Ligi Kuu
NDANDA kuchele! Hiyo ndiyo habari ya mjini baada ya timu hiyo ya Mtwara kukaa kileleni mwa Ligi Kuu Bara, ikiwa ni mara yao ya kwanza tu kucheza ligi hiyo. Ndanda iliifunga Stand United mabao 4-1 na...
View ArticleUsajiri bila kufanya vipimo vya afya ni tatizo
nasikitika vilabu vinavyokurupuka kusajiri bila vipimo kwa wachezaji mfano timu yetu ya simba wamemsajiri kiongera anamatatizo ya goti usajiri wa simba wanaangalia tu kwenye yutub hapo kiongozi anakula...
View Article