Kiungo mkabaji wa manchester united Michael Carrick kuchukua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Klabu,hakika jamaa anastahili kwani amechangia asilimia kubwa ya mafanikio kwa klabu si kwa mwaka huu tu bali hata miaka ya nyuma.
Naamin na wewe u pamoja nami katika hili kama unafuatilia mpira
Naamin na wewe u pamoja nami katika hili kama unafuatilia mpira