Roberto Mancini has been sacked by Manchester City
Habari ambazo zimezagaa ni kwamba Manchester City wanatarajia kumfukuza kocha wao wa sasa Roberto Mancini. Nafasi yake inatarajiwa kuchukuliwa na kocha wa sasa wa Malaga, Manuel Pellegrini. Jana...
View ArticleKama namuona mbuyu twite...
Nikikumbuka mechi ijayo ya Simba na Yanga,kama namuona Mbuyu Twite akishangilia goli la tatu dakika ya 39 kipindi cha kwanza. ....Kama namuona rage akiondoka uwanjani mapema dakika za mwanzoni kipindi...
View ArticleLive Now Online - Manchester United Championship Parade
Wanajamvi, hivi sasa kuna parade rasmi la kutembeza kombe la Barclay Premiership. Mnaweza kuangalia gwaride hilo live kuanzia Old Trafford. Champions 2013 Parade - Live coverage of United's victory bus...
View ArticleBreaking Rumours.
Wenger to leave the position as Arsenal's manager at the end of the season. He's moving upstairs.
View ArticleBenifica vs Chelsea
Vp wadau wa sports kesho ndiyo fainal ndogo ya uefa mnaizungumziaje?
View ArticleTetesi: Aron ramsey leo katupia kambani!
Aron Ramsey kafunga goli zuri sana la 4 katika ushindi wa leo wa Arsenal. Swali ni kwamba hilo goli litaleta msiba gani?
View ArticleHabebeki.... Ronaldinho na Kaka waachwa Timu ya Taifa ya Brazil
Brazil leave out Ronaldinho and Kaka May 14, 2013 By ESPN staff Ronaldinho and Kaka have not been named in Brazil's squad for their Confederations Cup campaign. On Tuesday, Brazil head coach Luiz...
View ArticleYanga vs Simba J'mosi taifa,tukifungwa najing'ata makalio!!!!!
Yes,ntajing'ata makalio kiukweli lol! Kwasababu najua na nina uhakika kwamba ndio siku ya kulipa deni lililodumu kwa mwaka mmoja!
View ArticleNgassa sasa rasmi Yanga,Manji amkabidhi gari la kifahari!!
Mshahara wake kufuru. Atajiunga na Yanga j'mosi jioni zanzibar baada ya mechi ya watani!
View ArticleHivi kwanini wachezaji ulaya wanashikana makalio?
Mimi hapa huwa siwaelewi kabisa!ina maana na boban nae walimshikaga alivyokuwa ulaya? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
View ArticleNews Alert: FT:Benifica 1-2 chelse
a dying second goal gave chelsea a win UEFA EUROPA LEAGU. goli la Ivonovic sekunde ya mwisho limeipa ushindi chelse wa kombe la UEFA NDOGO. FT:2-1
View Articlekuondoka kwa ferguson: MAN U subirini vichapo na uhaba wa vikombe kama arsenal.
Jamani Kiukweli babu alikua fundi wa kutisha pamoja na uchelsea wangu ila namkubali sana. sasa ndo ivyo tena Ferg kaachia ngazi tutashuhudia vichapo mfululizo kwa man u next season na uhaba wa vikombe...
View ArticleMichael Carrick "the Unsung Hero" na tuzo yake
Kiungo mkabaji wa manchester united Michael Carrick kuchukua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Klabu,hakika jamaa anastahili kwani amechangia asilimia kubwa ya mafanikio kwa klabu si kwa mwaka huu tu...
View ArticleDavid Beckham retires from football
David Beckham has retired from football, bringing an end to a glittering career on the field. Despite the offer of an extended one-year deal at Paris Saint-German, sources in Paris have revealed that...
View ArticleKadi ya Mwaliko kwa wanazi wa Msimbazi
"Special card 4u" * ¡"""""'""''""""""' ¡* * ¡ .+""+...+""+. ¡ * ¡+MWALIKO + ¡* * ¡ "+. .+" ¡* * ¡ "+" ¡* familia ya mr YUSUF MANJ WA DSM Anapenda kukualifu BW, /BI/DR/ PROF. kuwa mtoto wao mpendwa...
View ArticleViwanja vyetu vya michezo viwe na vyoo bora na mazingira safi.
Viwanja vya michezo vilivyopo kote ulimwenguni havina budi kuwa na vyoo bora ikiwa ni pamoja na mazingira ya viwanja hivyo kuwa safi wakati wote. ManyandaHealthy: VIWANJA VYETU VYA MICHEZO VIWE NA VYOO...
View ArticleSimba na Yanga kesho hapatoshi
Nipo hapa uwanja wa taifa nikikata tiketi kwa ajili ya mtanange wa kesho watu ni wengi na cha kushangaza hawaogopi mvua kabisa. Wapo kwenye foleni hadi kieleweke. Mvua ni kali mno. Viva Yanga viva!...
View ArticleNammiss yule shabiki wa YANGA anayelia akifungwa
jamani Simba fanyeni mambo kesho..nimmemmiss yule jamaa wa HUJUMA sijamuona siku nyingi...
View ArticleTFF wameficha tiketi za buku tano
Hawa jamaa kama kawaida yao kwnye mechi kubwa wakishaona kuna dalili ya watu wengi wanabania tiketi za kima cha chini. Hapa nilipo karibia kila kituo ninachoenda kukata tiketi ya elfu tano nakuta...
View Article