Wadhamini wa mabingwa wa Tanzania na A.mashariki na kati TBL leo wamewapa zawadi ya 25M kama ahsante kwa kutwa ubingwa wa Tanzania.
Pia imewaahidi zawadi nono endapo watalitetea vema kombe la kagame.Wawaasa Simba wawe na wivu wa kimaendeleo.