Kama kuna mchezaji wa afrika mwenye sifa za kucheza na mpira apendavyo basi Mimi ningempa Austin jay jay okocha ni mchezaji wa kiungo pekee ktk bara letu la Africa aliyekuwa na uwezo pekee wa kusakata kabumbu nakumbuka alipokuwa anacheza kipindi kile kila mtu alikuwa anataka kuona atakuja na style gani, thumb up if you agree kwa shujaa huyu wa Africa.
↧