Zamani ukiachwa timu ya taifa kwenda worldcup majonzi tele lakini sikuhizi.....
Enzi zile 1998 na 2002 romario de souza alitokwa machozi pale alipotemwa katika timu ya taifa, lakini sikuhizi naona mtu akiachwa timu ya taifa anaona poa tu, wengine wanajitoa bila sababu ya msingi...
View ArticleKikosi cha Spain World Cup
SQUAD IN FULL: Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David de Gea (Manchester United) Defenders: Dani Carvajal, Sergio Ramos (Real Madrid), Juanfran (Atletico Madrid), Raul...
View ArticleKushabikia Soka la Ulaya hakutusaidii
Makala hii ilichapishwa katika gazeti la Mwananchi toleo la Jumatatu, 12 Mei 2014. Quote: Na Mphamvu Daniel, Dar es Salaam. Ni wikiendi moja tukiwa katiba banda la kutazama Soka mtaani kwangu. Naposema...
View ArticleYuko wapi restuta joseph mwanariadha
kwa anayejua huyu dada yuko wapi aliwahi iletea sifa sana nchi yetu upande wa riadha lakini siku hizi hasikiki tena anayefahamu tafadhari
View Articleorigi kucheza katika world cup, kenya
BREAKING: Divork Origi named in Belgium’s World Cup squad Origi named in Belgium’s World Cup squad | Nairobi News
View Articleje ni sahihi kwa mchezaji aliyechuja Fernando Torres kuitwa kwenye kikosi cha...
Mchezaji Fernando Torres akiwa kama striker tegemezi wa Chelsea, ameweza kufunga magoli 6 tuu katika epl, na magoli 11 tuu katika michezo yote aliyocheza msimu wa 2013/2014! je ni sahihi kwa mchezaji...
View ArticleBaada ya Miaka 5 kuwa pembeni Friends of Simba FoS kurudi tena?
mwaka 2010 ulikua uchaguzi wa simba sc unafanyika..katika uchaguzi huo uliofanyika ukumbi wa bwalo la mapolisi oysterbay...kundi la FoS nilikua limejipanga kuchukua uongozi ..na waliiingia katika...
View ArticleFC Barcelona na Atletico Madrid mara 5 wanazokutana,Barcelona ana advantage...
FC-Barcelona na Atletico Madrid wanakaribia kukutana kwa mara ya tano katika msimu huu wa 2013/2014 Jumamosi tarehe 17th may match ambayo itaamua mshindi wa La liga(league kuu ya spain) , huku kukiwa...
View ArticleWorld Cup, Special Thread.
Baada ya kukamilika kwa ligi mbalimbali za soka ulimwenguni na nyingine zikiwa zinakaribia kufika ukingoni, na kwa kua zimebaki siku chache kabla ya kuhamishia macho na nyoyo zetu kule nchini brazil...
View ArticleNews Alert: World top scorer: Ngasa awafunika messi na neymar
Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amewapiku nyota wa Barcelona, Lionel Messi, Neymar kwa ufungaji wa mabao kwa mwaka 2014, huku akiachwa na kinara wa ufungaji Cristiano Ronaldo kwa magoli matatu...
View ArticleHebu Cheki Kikosi cha Hispania Kombe la Dunia 2014 Brazili
Kikosi cha Spain: Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David De Gea (Manchester United). Defenders: Dani Carvajal, Sergio Ramos (both Real Madrid), Gerard Pique, Jordi Alba...
View ArticleAngalia hiki kikosi cha Hispania Kombe la Dunia mwaka huu June 2014 Brazil ni...
Kikosi cha Spain: Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David De Gea (Manchester United). Defenders: Dani Carvajal, Sergio Ramos (both Real Madrid), Gerard Pique, Jordi Alba...
View ArticleNews Alert: BRAZUCA: The official WOLRD CUP Ball for 2014 in brazil
WEIGHT;- 437 grams CIRCUMFERENCE;- 69 cm REBOUND;- 141 cm WATER ABSORPTION;- 0.2 % This will be the 12th ball created by Adidas for the World Cup. Tutakumbuka kwamba adidas walikuwa critised baada ya...
View ArticleJulio kugombea uVP Simba
Kwa mujibu wa TBC FM Michezo, Julio amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Vice President wa Simba. Amedai Simba imekuwa ikiongozwa na watu wenye uwezo mdogo, yeye anaijua Simba kuliko robo tatu ya wale...
View ArticleHii ya Kaburu Kugombea Simba Imekaaje?
Natafakari Kiongozi wa TFF kugombea Klabu na mgongano wa maslahi
View ArticleTimu za Spain Zatesa!!!
Sevilla wamebeba kombe la EUROPA baada ya kuifunga BENFICA kwa mikwaju ya penati. Wakati huo huo tunasubiria fainali ya champions league hivyo makombe yote msimu huu yatatua spain!! Hongera LA LIGA!!!
View ArticleTop 5 ya vikosi vikali world cup anayejua??
naomba anayejua vikosi hvyo na wachezaji wake
View ArticleEto'o brands Jose Mourinho 'A FOOL'
Samuel Eto'o has described Chelsea manager Jose Mourinho as a "fool" for questioning his age and vowed to play on at the highest level for some time to come. Mourinho, who was also Eto'o's manager at...
View ArticleUchaguzi Mkuu Simba Sports Club 2014
Jamani tupeane habari lipi linaendelea katika Club yetu pendwa ya Simba, kuanzia nani unampa ushindi wa makisio na kwa sababu ipi? Tafadhali sitaki kusikia uchulo wa mpinzaninyoyote kuanzia madimbwi ya...
View Article