DAVID MOYES angekuwa kocha wa Simba au Yanga...
Hivi tunajifunza namna ya kumheshimu kocha? Kibadeni,Julio ,Basena na wengineo wengi walipewa nafasi kama anayopewa David Moyes? au hatujifunzi kitu hapo?
View Articlespecial analysis: MANDELA Vs MAN UTD
MANDELA vs MAN UNITED Mandela alikaa jela miaka 26 Man u alikaa miaka 26 bila kombe la ligi Mwaka 1990 Mandela anakua huru Mwaka huo huo man akachukua fa cup na hilo lilikua kombe lake la kwanza tangu...
View Articletumemalizana na Ivo Mapunda: Hans Mapunda
" nipende kuwafahamisha Watanzania na wanasimba kuwa tumemalizana na Ivo Mapunda"-Hans Pope
View ArticleNews Alert: Brazil football season ends in violence as fans brawl
A violent brawl broke out between rival fans Continue reading the main storyRelated StoriesViolence at Brazil football matchWatch2014 Fifa World Cup draw & fixtures The Brazilian football league...
View ArticleDrogba na Eboue kuadhibiwa kwa kumshukuru Mandela
Chama cha Soka cha Uturuki kimewaita wachezaii wawili wa Ivory Coast, Didier Drogba and Emmanuel Eboue ili kuwaadhibu kutokana na kutenda kosa la kuvaa na kuonyesha uwanjani nguo zinazomkumbuka na...
View ArticleFIFA FOOTBALLER OF YEAR 2013/2014: Tatu bora hawa hapa.
Cristiano Ronaldo, Ribery na Lionel Messi ndio wamebaki katika list ya wachezaji 23 waliokuwa wamechaguliwa kugombea. Mchezaji bora atatangazwa 06 Jan 2014. Utabiri wangu ni Cristiano Ronaldo. Toa...
View ArticleNews Alert: Arsenal: The season so far
http://m.youtube.com/watch?v=A4pUs4Pu1cQ here is a little Youtube video I found on the season so far. Really good watch.
View ArticleMechi ya Kilimanjaro Stars dhidi ya Harambee Stars ni saa ngapi?
Tangu jana wapenzi wa mpira tulijua mechi hii inachezwa saa nane kamili. Mpaka sasa hatuoni kinachoendelea. Utachezwa muda gani? Mnisaidie ndugu zangu.
View ArticlePicha:Ingekua kwa wenzetu huyu dogo angeshapata 'SHAVU'
Hapa dogo kakosa mpira kaamua kutumia nazi kama mpira. Nimeambiwa umri wake ni mwaka1 na miezi 5 tuu! Lakini anapiga mashuti ya hatari! Attached Thumbnails
View ArticleZambia Hoi!
Zambia imetolewa na Sudan katika michuano ya Senior Challenge Cup inayoendelea katika hatua ya nusu fainali kwa mabao 2-1. Kilimanjaro Stars na Harambee Stars mchuano ulitakiwa uanze saa 12 jioni hii...
View ArticleManchester United haitetereki
Kwa wale wanaotegemea haitakuwemo hata katika top 4, wajue kwamwe utd haianguki kama flag inavyoonyesha hapa chini
View ArticleHivi..???
Hivi watu bado hawajaihama tu man utd maana me naona wanapata tabu kweli yaani
View ArticleHasheem Thabeet naona Oklahoma namba yake imeshachukuliwa na yoso
Tulijadili sana kuhusu huyu kijana siku za nyuma huko na kujaribu kumshauri ajitahidi kujituma, sasa hali halisi katika timu yake ni kuwa bench kila mechi maana namba yake imechukuliwa na yoso mmoja...
View ArticleManji:sitagombea uongozi yanga hapo mei
yusuph manji wa yanga ameyasema hayo jana baada yakudumu katika ngazi tofauti tofauti za uongozi ndani ya yanga kwa muda unakadiriwa miaka tisa Nimeamua kuachia ngazi kupisha na wengine wagombe kwa...
View ArticleUtamaduni huu wa CECAFA unaua soka.
Asiyekubali hili hajui soka kwamba mchezo sio dakika 90 tu huwa unachezwa kabla ya hapo. Imekuwa tabia ya CECAFA nchi inayoandaa bonanza lake kuwa bingwa na hivi sasa Kenya atachukua ndoo hiyo. Kwa...
View ArticleLeo ni JUMATANO: Wanachama wa SIMBA wamefika BUNGENI????
JF Salaam, Wanachama wa Simba Sports Club (SSC) leo jumatano walisema watakwenda Bungeni Dodoma kumshitaki M/Kiti wao Mh Ismail Aden Rage kwa Spika wa Bunge. Hawa wanachama wamekwenda au bado wako Dar???
View ArticleKwa tff na wapenda michezo tz!!
Kulingana na hali halisi iliyotokea katika mashindano haya ya CECAFA yanayoendelea, ninawashauri TFF na wapenda michezo wote wa Tanzania, tujitoe CECAFA na kujiunga COSAFA, sababu mnazifahamu nanyi...
View ArticleChannel za HD zinatisha
Wakuu naamini kabisa wengi wetu tuna tizama mpira kwa luninga na nizile channel za kwaida sasa embu jaribu HD channel nautaona tofauti yake...unacho hitaji ni decoder ya PVR
View Article