February 24, 2013, 3:33 am
Mkama mtakumbuka RAGE aliwahi kukaririwa na TV fulani week kadhaa zilizopita akisema kwamba kocha wao cokvic aende tu kwao SERBIA na kwamba awape contact zake watamlipa pesa zake kwa njia ya bank eti wanabanywa na sheria kulipa malipo zaidi ya $ 10,000 , kumbe zile zilikuwa fix zake tu.
Mbona tumeona kwenye vyombo vya habari Malikia wa nyuki kamlipa mzungu wa watu pesa zake powa kabisa , hiyo sheria imeenda wapi? Tatizo la RAGE kujifanya eti ni mwana sheria sijui na Tundu Lissu tumwiteje, Sasa Mzungu kalipwa ametustiri aibu wana SIMBA
RAGE HUYU JAMANI Mbabaishaji kweli.
↧
February 24, 2013, 4:27 am
[IMG]file:///C:\Users\KIHONGOA\AppData\Loca l\Temp\msohtmlclip1\01\clip_im age002.jpg[/IMG]
Wadau kumbukeni tarehe 26/06/2003 kwenye kombe la mabara alipofariki Mark Vivien Foe. Wanamichezo tukumbuke kuchunguza afya zetu mara kwa mara. Fungua /angalia hiyo picha ukumbuke vizuri
↧
↧
February 24, 2013, 7:53 am
Mabingwa watetezi wanazidi kukwama. si bure! kuna gonjwa ndani yake. Rage, waweza kuwa gonjwa ndani ya simba.
↧
February 24, 2013, 11:00 am
Mtanange huu utapigwa muda mfupi ujao kwa ratiba ya hapa kwetu ni saa 22:45 na tunategemea mechi itakuwa swaaafi kabisa!
Kama nitatoweka hewani bila sha itakuwa siyo kusudi langu bali ni chaji itakuwa imekata ila karibu wadau wenzangu wa soccer tufuatilie mtanange huu mzuri! Nategemea ushindani mzuri kwa jinsi Ac Milan walivyo katika fomu nyakati hii na juzi tumewashudia wakiigaragaza Barca! Kila la Kheri Ac Milan! Baroteli ataweza akang'ara na hata leo!
↧
February 24, 2013, 12:10 pm
SUNDAY, FEBRUARY 24, 2013
Mechi namba 120 ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyochezwa jana (Februari 23 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa Yanga kuibuka ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam imeingiza sh. 239,686,000.
Watazamaji 39,315 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo ambayo viingilio vilikuwa sh. 5,000, sh. 8,000, sh. 15,000 na sh. 20,000 huku kila klabu ikipata mgawo wa sh. 58,794,927.45 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh. 36,562,271.19.
Kiingilio cha sh. 5,000 ndicho kilichovutia watazamaji wengi ambapo waliokata tiketi hizo walikuwa 33,315 na kuingiza sh. 165,655,000 wakati idadi ndogo ya washabiki ilikuwa ya kiingilio cha sh. 20,000 kilichovutia washabiki 485 na kuingiza sh. 9,700,000.
Mgawo mwingine wa mapato hayo ni asilimia 15 ya uwanja sh. 29,895,725.82, tiketi sh. 3,183,890, gharama za mechi sh. 17,937,435.49, Kamati ya Ligi sh. 17,937,435.49, Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) sh. 8,968,717.75 na Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh. 6,975,669.36.
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
SUNDAY, FEBRUARY 24, 2013 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG
↧
↧
February 24, 2013, 2:22 pm
I'm happy being a Manchester United football fan..Are you??
↧
February 24, 2013, 10:20 pm
Ismael Aden Rage, Mbunge wa Tabora Mjini, Mtu mwenye maneno mengi, mkorofi, mtu asiye na subra, Mtanzania mwenye asili ya Somalia..
Anatakiwa kufanya jambo la busara kuinusuru, Simba Sports Club na Profile yake ya Kisiasa, busara hiyo ni kujiudhuru na kuwekeza akili yake kwenye Siasa za jimboni kwake na chama chake Mkoani Tabora...
Kwenye timu ya Simba Sports club ameshindwa kwenda na kasi ya mchezo..
Mpira wa Africa hakuna asie jua una Fitna na majungu mengi.. Sasa kama unaamua kugombea maana yake una jiamini kua utaweza kupambana na hujuma, fitna na majungu! Rage ameshindwa kupambana anatakiwa kuwahjibika kisiasa..
#RageOut
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
↧
February 25, 2013, 12:30 am
RAGE: nijiuzulu kwani mimi nacheza namba ngapi uwanjani?
Wanachama ndio walionichagua tena kwa kura nyingi, sasa iweje niondoke katika kipindi hiki tena timu ikitakiwa kwenda Angola na huku tiketi za ndege pamoja na viza hawana?
Nikitaka kuacha nitaitisha mkutano na wanachama na kuwaambia mambo yamenizidi naomba nang'atuke
SOURCE: akiojiwa clauds fm kwenye PB
↧
February 25, 2013, 2:28 am
Taarifa zilizotufikia kutoka kwa wadau ni kuwa mhe. Waziri mwenye dhamana ya michezo ameagiza tff ifanye uchaguzi kwa kutumia katiba ya 2006. Tunachokiona; siasa ikiingilia michezo fifa itatufungia. Maana yake ni kwamba timu zetu hazitashiriki mashindano ya kimataifa ya mpira wa miguu. Tusubiri tuone mwisho wake.
↧
↧
February 25, 2013, 2:42 am
Taarifa zilizotufikia kutoka kwa wadau ni kuwa mhe. Waziri mwenye dhamana ya michezo ameagiza TFF ifanye uchaguzi kwa kutumia katiba ya 2006. Tunachokiona; siasa ikiingilia michezo FIFA itatufungia. Maana yake ni kwamba timu zetu hazitashiriki mashindano ya kimataifa ya mpira wa miguu. Tusubiri tuone mwisho wake.
↧
February 25, 2013, 3:20 am
Tatizo la simba sports club kufungwa na na kutoa droo kila mechi nini jamani? Enyi viongozi wa simba embu ongeeni wa wachezaji wenu, lazima kuna tatizo litakuwa linaendelea si bure kila match ni droo au kufungwa tuu, sisi mashabiki wenu mnatukatisha tamaa
↧
February 25, 2013, 6:00 am
Amakweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Leo RFA katika taarifa ya habari ya saa sita u nusu nilisangaa kusikisia mtangazaji akisema DB katoa pasi iliyozaa goli katika mchezo wa timu yake hapo jana, hakuna habari nyingine iliyohusu mechi hiyo. Tukawa tunajiuliza hivi hawa jamaa wameishiwa habari ama ndio uzuzu wetu!
↧
February 25, 2013, 7:24 am
Kwa kweli mnasababisha tuonekane Watu tusiokuwa na amani kila tuendako... tUNAONYESHWA "LIBOLO" Matatizo mnayatafuta wenyewe viongozi..... kisa na mkasa cha kumuondoa Milovan ni nini? Mnaruka mkojo mnakanyaga mavi.... na kwa kuchanganyikiwa kwenu nawapa ushauri huu.. Mrudisheni MILOVAN.... na pangueni jopo la makocha ... kuna mtu ambaye ni NUKSI na hana Jipya JULIO... Aondoke mara moja ...
↧
↧
February 25, 2013, 7:52 am
SERIKALI imeingilia kati sakata la uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kuamuru kufutwa kwa katiba ya sasa ya shirikisho hilo na badala yake kuamuru itumike katiba ya zamani (mwaka 2006) baada ya kubaini kuwa iliyopo ina kasoro nyingi.
Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari leo, Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo imeeleza kuwa katiba ya sasa ya TFF si halali. Imeelezwa vilevile kuwa msajili wa vyama vya michezo aliyedaiwa kuipitisha katiba hiyo ameondolewa.
Mchakato wa uchaguzi mkuu wa TFF umesimamishwa kutokana na mgogoro mzito uliotokana na kuenguliwa kiutata kwa wagombea kadhaa, wakiwamo Jamal Malinzi anayewania urais na Michael Wambura anayetaka kugombea nafasi ya makamu wa rais.
Kamati ya rufani ya TFF inayoongozwa na Iddi Mtiginjola ndiyo iliyozua balaa lote la sasa baada ya kuwaengua kina Malinzi na mwishowe kumuacha makamu wa sasa wa rais, Athumani Nyamlani abaki kuwa mgombea pekee.
Hata hivyo, tayari mchakato wa uchaguzi huo uliozua mabishano makali umeshasimamishwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na maafisa wa chombo hicho cha juu cha mchezo wa soka duniani wameshaanza kuwasili kufuatilia kinachotokea nchini.
Uamuzi wa serikali wa kufuta katiba ya sasa na kutaka itumike ya 2006 unampa ahueni kubwa Wambura ambaye alishasema hadharani kuwa ataiburuza TFF mahakamani kama isipoachana na katiba mpya na kufuata ya zamani; huku akitoa sababu kadhaa za kupinga matumizi ya katiba mpya, mojawapo ikiwa ni kupitishwa kwake kwa njia ya waraka wa barua pepe (e-mail) kwenda kwa wajumbe badala ya kufuata maelekezo ya katiba yanayotaka mabadiliko kufanywa na wajumbe kupitia mkutano mkuu.
Hata hivyo, kwa mujibu wa taratibu za FIFA, ni marufuku kwa shughuli za soka kuingiliwa na serikali au mahakama na nchi yoyote inayokwenda kinyume na taratibu hizo hujikuta ikifungiwa kama ilivyowahi kutokea nchini Kenya.
(CHANZO: straikamkali.blogspot.com)
↧
February 25, 2013, 10:10 am
Line ups
UDINESE:
Padelli
Danilo
Domizzi
Benatia
Badu
Pereyra
Allan
Pasquale
Dusan Basta
Di Natale
Muriel
NAPOLI:
De Sanctic
Cannavaro
Britos
Armando
Inler
Behrami
Armero
Mesto
Cavani
Insigne
Hamsik
↧
February 26, 2013, 8:13 am
Kauli hiyo kaitoa msemaji wa klabu!
Mpira pesa kupigiwa magoti.
Kila kitu kuwekwa wazi.
Kuondoka ijumaa kumfuata mwandani(bwana)ake'LIBOLO'
↧
February 26, 2013, 9:12 am
Kocha wa REAL MADRID AMEOMBA MASHABIKI WAMWACHIE REFA AFANYE KAZI YAKE ASIINGILIWE ;AMEAHDI KUONYESHA MPIRA MZURI NA NA FURAHA KWA SHABIKI WA REAL
↧
↧
February 26, 2013, 11:16 am
Sikumbuki Mwaka labda Baadhi ya Wachezaji na hicho kitoto nadhani ni cha Marehemu Gulamali kama Sikosei oi Bukta kama Chupi.... lol
Cheupe Kule Kushoto ni Kenneth Mkapa Wachezaji wa Zamani walikuwa wanakula wanashiba Ukimkuta ni Mfupi basi Kajazia Misuli ya Kutosha... Wa nne Kulia atakuwa ni Saidi Mwamba..
Athuman China na Sekirojo Chambua kama Nimewaona vile, Salum Kabunda atakuwepo japo nilikuwa Simfahamu zaidi ya Jina tu..
Kuna Wadau humu wanakumbuka kikosi kizima
↧
February 26, 2013, 11:31 am
man utd inaweza kufanya maajabu mcimu huu kwa kuchukua makombe matatu kama mwaka 1999 au treble ,man utd ndo timu pekee nchini uingereza kuchukua makombe3 ndan ya mcimu mmoja na wana nafac ya kurudia mafanikio hyo mcimu huu wakiwa wanaongoza ligi kuu ya england kwa point 12,wapo katika hatua ya robo final ya fa cup na watapambana na middlesbrough au chelsea na pia wapo ktk mashndano makubwa kabisa barani ulaya ya uefachampions league wakicheza na timu ya real madrid ambao ndo mtihan mkubwa walionao ktk kuweka historia hyo,ata hivyo wana marginal advantage baada ya kupata goli la ugenini ktk mechi ya awali iliyofanyika santiago bernabeu.japokuwa na ugumu unaoukabili man utd ktk kuweka rekodi hyo wa , kocha sir alex fergusson anaamini kwamba historia inaweza ikajirudia mwaka huu ila indapo watawatoa real madrid ktk mechi ya marudiano itakayo fanyika THEATRE OF DREAMS au OLD TRAFFORD .so man utd fans are believing again wakimtegemea their prolific attacker robin van persie or the terrorist so tusubiri tuone ONLY TYM WILL TELL US
↧
February 26, 2013, 12:46 pm
![Click image for larger version.
Name: ImageUploadedByJamiiForums1361911398.315795.jpg
Views: 0
Size: 37.9 KB
ID: 84782]()
manjis army
↧